Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Vijana wamecheza vizuri sana.. sema kuna kauzembe..Tukae tutulie kuonyesha uzalendo kama mwenye Tanzania anavyotaka[emoji38][emoji38]
Angalia data hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wamecheza vizuri sana.. sema kuna kauzembe..Tukae tutulie kuonyesha uzalendo kama mwenye Tanzania anavyotaka[emoji38][emoji38]
Team yetu ni bora sana mkuu, sema bahati mbaya tuu na akili wametuzidiTuna vijana wazuri,,,wana vipaji na soka wanalijua..kinachokosekana ni Mwalimu tu. Tuache siasa za maji taka ...tutafute mwalimu anayestahili
Tuna timu nzuri sanaMpaka dakika ya 33 Ghana wanaongoza kwa bao 2 kwa bila - dakika 33 Ghana 2 Tanzania 0, Mashindano yanafanyika Madagasar.
Tanzania yetu si under20 wale Taifa stars wote utopolo.Mpaka dakika ya 33 Ghana wanaongoza kwa bao 2 kwa bila - dakika 33 Ghana 2 Tanzania 0, Mashindano yanafanyika Madagasar.
Acheni utoto ili uitwe unacheza vzr ni mpaka ufunge na ushinde sasa tuache sifa za kifala
Siyo Madagascar Ni MauritaniaMpaka dakika ya 33 Ghana wanaongoza kwa bao 2 kwa bila - dakika 33 Ghana 2 Tanzania 0, Mashindano yanafanyika Madagasar.
Barcelona wamepigwa 4 nyumbani sembuse Tanzania..Acheni utoto ili uitwe unacheza vzr ni mpaka ufunge na ushinde sasa tuache sifa za kifala
Mi nakubaliana na wewe kua tulikua tunacheza vizuri japo sijatazama mpira, hiyo ni ktokana na nilivyowaona dhidi ya Uganda kwenye mechi ya kirafiki, Julio mpira wake ni wa kizamani sana, wakati wenzei wameingia kwenye science football, wanapokua wanashambulia uoni wanashambulia kwa shape gani. Na wanapokua wanashambuliwa huwaoni wanakaba kwa shape gani. Mianya wanayoiachia wanapokua wanashambuliwa unamuonea huruma kipa kua muda wote anaenda kufungwa. Hawa vijana wanavipaji ila hawana basic za mpira, wanacheza tu kama wameambiwa ingieni mkacheze.Hii Game sisi ndo tunacheza vizuri ila hawa madogo wa Ghana wanafanya vitu vichache mno na wanatunyoosha.
Ila kipa katuangusha sana.
Unachukua mwalimu aliyetimuliwa kwa kushindwa kupandisha timu daraja halafu yuko kijiweni unampa timu ya taifa ya vijana unategemea niniTuna vijana wazuri,,,wana vipaji na soka wanalijua..kinachokosekana ni Mwalimu tu. Tuache siasa za maji taka ...tutafute mwalimu anayestahili
Mi nakubaliana na wewe kua tulikua tunacheza vizuri japo sijatazama mpira, hiyo ni ktokana na nilivyowaona dhidi ya Uganda kwenye mechi ya kirafiki, Julio mpira wake ni wa kizamani sana, wakati wenzei wameingia kwenye science football, wanapokua wanashambulia uoni wanashambulia kwa shape gani. Na wanapokua wanashambuliwa huwaoni wanakaba kwa shape gani. Mianya wanayoiachia wanapokua wanashambuliwa unamuonea huruma kipa kua muda wote anaenda kufungwa. Hawa vijana wanavipaji ila hawana basic za mpira, wanacheza tu kama wameambiwa ingieni mkacheze.
Timu amepewa Mhamasishaji badala ya kupewa Mwalimu aliyebobea kwenye soka la vijana kama Zubery Katwila au Bakary Shime!!Julio ni msimamizi wa mazoezi tu.. TFF fukuzeni Huyo mswahili arudi Simba au Coastal Union
Bakari Shime ndo pendekezo sahihi kwa hawa vijana.Timu amepewa Mhamasishaji badala ya kupewa Mwalimu aliyebobea kwenye soka la vijana kama Zubery Katwila au Bakary Shime!!
Last time wakati anahojiwa na Wanahabari alitumia muda mwingi kuwamwagia sifa Walace Karia na Katibu wake Kidau! Ili tu kulinda ugali wake.
Julio amejawa na maneno tu! Ukiangalia hata yake ni ya kuunga unga tu.
Timu amepewa Mhamasishaji badala ya kupewa Mwalimu aliyebobea kwenye soka la vijana kama Zubery Katwila au Bakary Shime!!
Last time wakati anahojiwa na Wanahabari alitumia muda mwingi kuwamwagia sifa Walace Karia na Katibu wake Kidau! Ili tu kulinda ugali wake.
Julio amejawa na maneno tu! Ukiangalia hata CV yake ni ya kuunga unga tu.