AFCON Under20: Ngorongoro Heroes yaanza vibaya michuano kwa kukubali kichapo 4-0 Ghana. Mechi ijayo kuivaa Gambia

Tukae tutulie kuonyesha uzalendo kama mwenye Tanzania anavyotaka[emoji38][emoji38]
Vijana wamecheza vizuri sana.. sema kuna kauzembe..

Angalia data hizi
20210216_221631.jpeg
 
Tuna vijana wazuri,,,wana vipaji na soka wanalijua..kinachokosekana ni Mwalimu tu. Tuache siasa za maji taka ...tutafute mwalimu anayestahili
Team yetu ni bora sana mkuu, sema bahati mbaya tuu na akili wametuzidi
20210216_221631.jpeg
 
Mpaka dakika ya 33 Ghana wanaongoza kwa bao 2 kwa bila - dakika 33 Ghana 2 Tanzania 0, Mashindano yanafanyika Madagasar.
Tanzania yetu si under20 wale Taifa stars wote utopolo.
Let we keep in mind simba ni muwakilishi wetu.
 
Acheni utoto ili uitwe unacheza vzr ni mpaka ufunge na ushinde sasa tuache sifa za kifala
Barcelona wamepigwa 4 nyumbani sembuse Tanzania..

Brazil waliwahi kipigwa 7 na ujerumani wakiwannyumbani sembuse Tanzania

Kubali tuu, haya ni matokeo ya mpira na sio uchaguzi mkuu Tanzania ambao mnajipangia matokeo.
20210217_071256.jpeg
 
Hii Game sisi ndo tunacheza vizuri ila hawa madogo wa Ghana wanafanya vitu vichache mno na wanatunyoosha.
Ila kipa katuangusha sana.
Mi nakubaliana na wewe kua tulikua tunacheza vizuri japo sijatazama mpira, hiyo ni ktokana na nilivyowaona dhidi ya Uganda kwenye mechi ya kirafiki, Julio mpira wake ni wa kizamani sana, wakati wenzei wameingia kwenye science football, wanapokua wanashambulia uoni wanashambulia kwa shape gani. Na wanapokua wanashambuliwa huwaoni wanakaba kwa shape gani. Mianya wanayoiachia wanapokua wanashambuliwa unamuonea huruma kipa kua muda wote anaenda kufungwa. Hawa vijana wanavipaji ila hawana basic za mpira, wanacheza tu kama wameambiwa ingieni mkacheze.
 
Tuna vijana wazuri,,,wana vipaji na soka wanalijua..kinachokosekana ni Mwalimu tu. Tuache siasa za maji taka ...tutafute mwalimu anayestahili
Unachukua mwalimu aliyetimuliwa kwa kushindwa kupandisha timu daraja halafu yuko kijiweni unampa timu ya taifa ya vijana unategemea nini
 
Timu za vijana wapewe makocha toka nje wenye leseni za vyuo halali.

Upo sahihi kabisa mkuu
Mi nakubaliana na wewe kua tulikua tunacheza vizuri japo sijatazama mpira, hiyo ni ktokana na nilivyowaona dhidi ya Uganda kwenye mechi ya kirafiki, Julio mpira wake ni wa kizamani sana, wakati wenzei wameingia kwenye science football, wanapokua wanashambulia uoni wanashambulia kwa shape gani. Na wanapokua wanashambuliwa huwaoni wanakaba kwa shape gani. Mianya wanayoiachia wanapokua wanashambuliwa unamuonea huruma kipa kua muda wote anaenda kufungwa. Hawa vijana wanavipaji ila hawana basic za mpira, wanacheza tu kama wameambiwa ingieni mkacheze.
 
Julio ni msimamizi wa mazoezi tu.. TFF fukuzeni Huyo mswahili arudi Simba au Coastal Union
 
Timu amepewa Mhamasishaji badala ya kupewa Mwalimu aliyebobea kwenye soka la vijana kama Zubery Katwila au Bakary Shime!!

Last time wakati anahojiwa na Wanahabari alitumia muda mwingi kuwamwagia sifa Walace Karia na Katibu wake Kidau! Ili tu kulinda ugali wake.

Julio amejawa na maneno tu! Ukiangalia hata CV yake ni ya kuunga unga tu.
 
Julio amejawa na maneno tu! Ukiangalia hata yake ni ya kuunga unga tu.
Bakari Shime ndo pendekezo sahihi kwa hawa vijana.
Julio maneno mengi kulinda ugali kwa TFF
 
Bora wampe huyu mzungu wa Taifa stars.

Pia lambard anazungusha CV yake sasa hivi, au Thiery henry naye hana kazi.. [emoji1]

Back
Top Bottom