Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maajabu hayapo Africa tuu kote yapo acheni kujidharau bana.
Sio Afrika tu..hata nchi zilizoendelea fujo kawaida....Huko Gatasalayi mashabiki kuchapana kawaida sanaaa
Sasa Wachezaji Wa Equarorial Guinea Wameamriwa Kuwasihi Mashabiki Wao Kutulia ILA Kuna Kila Dalili Mechi Ikasimama Hapa Na Ghana Wakasonga Mbele. Hakika Ni Aibu, Aibua, Aibu Kwa Sisi Ngozi Ya T.A.K.O!
Brazil anajua mpira alikula saba nyumbani fainali ya kombe la dunia jamaa hawakurusha hata tishu uwanjani, kweli nyani hastaarabiki unaweza kumtoa porini ukamvisha pamba za ukweli lakini akili pori hazimtoki
Katika "level" hii ujinga huu haupo kila mahali kama unavyodai, hatuongelei kwenye makombe ya mbuzi, hii kitu kinaonyesha hata identity ya watu, Brazil ilifungwa mengi tu na washabiki wakaanza kuishangilia timu iliyokuwa inacheza vizuri, sasa wewe wasema kote wapi hasa mkuu?
Unaweza kutoa mfano wa sehemu hata moja kule ng'ambo ambako kumewahi kutokea fujo kama hizi tena kwa mashindano makubwa kama haya!!?
Mkuu imeisha mdaa huu waliendelea refa akaambiwa Dk 3 maliza game wamegusa mpira gafla wachezajiwa guinea wameshangaa Mpira umeisha kufour a!emeshangaa sheria gani imetumika kuendelea na mpira wakati sheriayampira unasema Dk 10. Akuna solnunamaliza Mpira ajui why wamekaa 30. Mins bado wanarud uwanjani a!meapa kulifikisha FIFA huu upuzi was refa
Unaweza kutoa mfano wa sehemu hata moja kule ng'ambo ambako kumewahi kutokea fujo kama hizi tena kwa mashindano makubwa kama haya!!?
Ni kweli aibu kubwa kwa ngozi hii maana ila laana ya kumchungulia baba akiwa uchi inatutafuna hadi leo, mfano maradhi sie, wizi sie, ujambazi sie, ufuska sie, ufir....j sie, ukahaba sie, uchepukaji sie,ungese sie, ulafi sie, mpaka mtu anaenda kaburini bado waombolezaji wanatafuna pombe, wanatongozana kwenye misiba, na laana zote kwa ngozi hii aibu kubwa sana:juggle:
Embu google top 10 most insane soccer riots in history afu uniambie kama WEUSI tupo.
Acheni kujidharau.
hii mechi ni high pofile hizo mechi za mchangani nani ana time nazo wewe mburula