AFCON: Uwanja wavamiwa na mashabiki Ghana ikiongoza 3-0

AFCON: Uwanja wavamiwa na mashabiki Ghana ikiongoza 3-0

Kuanga matokeo ndo Kansas ya Moira bora hats Ulaya ila hapa kwetu no tatizo Sana ..heko Ghana chama langu tunasonga mbele
 
Haya maajabu hayapo Africa tuu kote yapo acheni kujidharau bana.

Unaweza kutoa mfano wa sehemu hata moja kule ng'ambo ambako kumewahi kutokea fujo kama hizi tena kwa mashindano makubwa kama haya!!?
 
pongezi kwa uvumilivu wa police wa EG ingekua police wetu hapo wangepiga mabomu ya machozi hovyo na wachezaji wangeumia
 
Sasa Wachezaji Wa Equarorial Guinea Wameamriwa Kuwasihi Mashabiki Wao Kutulia ILA Kuna Kila Dalili Mechi Ikasimama Hapa Na Ghana Wakasonga Mbele. Hakika Ni Aibu, Aibua, Aibu Kwa Sisi Ngozi Ya T.A.K.O!

Ni kweli aibu kubwa kwa ngozi hii maana ila laana ya kumchungulia baba akiwa uchi inatutafuna hadi leo, mfano maradhi sie, wizi sie, ujambazi sie, ufuska sie, ufir....j sie, ukahaba sie, uchepukaji sie,ungese sie, ulafi sie, mpaka mtu anaenda kaburini bado waombolezaji wanatafuna pombe, wanatongozana kwenye misiba, na laana zote kwa ngozi hii aibu kubwa sana:juggle:
 
Brazil anajua mpira alikula saba nyumbani fainali ya kombe la dunia jamaa hawakurusha hata tishu uwanjani, kweli nyani hastaarabiki unaweza kumtoa porini ukamvisha pamba za ukweli lakini akili pori hazimtoki

Katika "level" hii ujinga huu haupo kila mahali kama unavyodai, hatuongelei kwenye makombe ya mbuzi, hii kitu kinaonyesha hata identity ya watu, Brazil ilifungwa mengi tu na washabiki wakaanza kuishangilia timu iliyokuwa inacheza vizuri, sasa wewe wasema kote wapi hasa mkuu?

Unaweza kutoa mfano wa sehemu hata moja kule ng'ambo ambako kumewahi kutokea fujo kama hizi tena kwa mashindano makubwa kama haya!!?

Embu google top 10 most insane soccer riots in history afu uniambie kama WEUSI tupo.
Acheni kujidharau.
 
Mkuu imeisha mdaa huu waliendelea refa akaambiwa Dk 3 maliza game wamegusa mpira gafla wachezajiwa guinea wameshangaa Mpira umeisha kufour a!emeshangaa sheria gani imetumika kuendelea na mpira wakati sheriayampira unasema Dk 10. Akuna solnunamaliza Mpira ajui why wamekaa 30. Mins bado wanarud uwanjani a!meapa kulifikisha FIFA huu upuzi was refa

Mawazo Yako Kama Ya Equatorial G. Walidhani Gemu Itarudiwa Ili Walazimishe Kubebwa, Maana Kwa Dk. Ambazo Zilibaki Walikuwa Hawabebeki!
 
Rogerrrogerr cnjonaa
 
dah... huyu jamaa ni majanga hasa. sijui aliishia darasa la ngapi mi huwa hata simuelew. hapa ameongea ongea utumbo hata haeleweki anazungumzia nini. wadau wengine kama mnaweza hebu mnitafsirie pdiddy ameandika nini. naona ni hovyo hvoyo hivi humu jamii forums kwa nini kusiwe kunafanyiwa interview kabla mtu hajapewa uanachama?
 
Ni kweli aibu kubwa kwa ngozi hii maana ila laana ya kumchungulia baba akiwa uchi inatutafuna hadi leo, mfano maradhi sie, wizi sie, ujambazi sie, ufuska sie, ufir....j sie, ukahaba sie, uchepukaji sie,ungese sie, ulafi sie, mpaka mtu anaenda kaburini bado waombolezaji wanatafuna pombe, wanatongozana kwenye misiba, na laana zote kwa ngozi hii aibu kubwa sana:juggle:

Na ushoga ni wao unaowaona ni bora 😬
 
Back
Top Bottom