Kwanza thamani halisi ya project ya reli haieleweki,finance minaster anasema dola bilion 9 huku mnasema dola bilion 14.1,which is the actual price? Pili serikali inashindwa vipi kumobilize finances kutoka private sector,public(wananchi) na mashirika ya umma kama bandari? Sikatai kukopa lakini kukopa kumezidi tena mikopo ya mda mfupi,serikali haina ubunifu kabisa,kajifunze kwa Ethiopia,Rwanda n.k.Ntakuja na mbinu hapa jinsi ya kufanya hilo jambo na wadau tusaidie serikali kwa ushauri badala ya kulaumu tuu