Mbona hata Marekani wanakopa kutoka China. Kukopa si tatizo ila tatizo kama hiyo pesa haijaelekezwa kwa uwekezaji wa tija ya muda mrefu.Dah waafrika kujitegemea sijui lini. Kamwe hatuwez kufanya kitu bila msaada wa hela.
nyinyi si ndio mnatuua walala hoi kwa njaa? Ama kwako unadhani kuua hadi umkatekate mUsipendo vya dezodezo utauwawa bure.
mkuu asante sana kwa reply. Inatukatisha tamaa sana. Ila kwa kila KITU/MRADI Wowote ccm wanafanya iwe hata manufaa kwa mwananch ni dilii. Ushahid hupoMbona hata Marekani wanakopa kutoka China. Kukopa si tatizo ila tatizo kama hiyo pesa haijaelekezwa kwa uwekezaji wa tija ya muda mrefu.
Hayo mambo ya kitaalamu tumeambiwa toka mda mrefu sana,hayo ya kukopa bila wananchi kujua gharama ya mradi inasaidia nini,na kwanini gharams hizo zinafichwa?Sio kila mada kila mtu anaweza kuchangia....hujui unachosema,jifunze kuuliza na sio kuja na hitimisho kwa mambo ya kitaalamu ambayo huyajui.
Hujui unachoandika...umesoma hiyo habari?...ulitaka gharama zipi angali zimewekwa?...bure kabisa!Hayo mambo ya kitaalamu tumeambiwa toka mda mrefu sana,hayo ya kukopa bila wananchi kujua gharama ya mradi inasaidia nini,na kwanini gharams hizo zinafichwa?
Noo mkuu 14bln £ ni reli ya kati hiyo bilioni 1 ni reli mpya itakayojengwa toka bagamoyo kwenda kuiingisha reli zingineMbona 1.1bn ndogo? maana railway 14bn na bagamoyo port 10bn
Bora tuzikatae kuliko kumpa Seif Urais !Nusu ya hizo pesa tulizikataa sababu ya Zenj toka USA tulizo kuwa tupewe bure... sasa tunakopa .....
Bora ubaki huko huko,tuendelee kuosha vyombo. Maana kwa hii akili yako,bongo huwezi ku survive a day.mkuu mambo gani ya kitaalamu?? Acheni hizo bwana. Ni nyerere pekee yake alikuwa na nia njema na sisi. Alijitahid sana kutufanya tujitegemee. Ni bora tubaki tulivyo kuliko kuzidi kukopa na kukopeshwa Ni mzigo mkubwa mnawatwisha tuw walala hoi. DART tumekopa holaa bomba la gesi holaa maden juu ya maden. Tukaaminishwa iyo mirad itatunufaisha sasa utalaam gani hapo mkuu? Kuwen tu na huruma na walala hoi. Mlala hoi anataka mlo wa uhakika maji ya uhakika na malazi ya uhakika. Anzen na hizo kwanza siyo mnakimbilia kukopa na kutandanza michuma ardhini. HAPANA!! Kuweni na Utu
bora kukopa kuliko bure. kama marekani sio wanafiki wangeona namna utawala bora unaimarishwa nchini na sio kuunga mkono porojo za wapinzani.Nusu ya hizo pesa tulizikataa sababu ya Zenj toka USA tulizo kuwa tupewe bure... sasa tunakopa .....
Ndio.....So deni la taifa laongezeka,badala ya kupungua...!?lets standardise TANGA PORT,DAR PORT,MTWARA PORT.its enough !!
Kulipa hilo deni ndio muhimu tusome kutoka Greece why sasa wamekaliwa rohoni na EU na IMF baada ya kushindwa kulipa madeni.Thibitisha usemi wako kuwa nusu USA ingetoa bure!!!!
Lakini elewa Vya bure a ghari, na KIMSINGI hazingetolewa bure kungekuwa na masharti ya wazi na mengine yasiyo wazi
Kulipa hilo deni ndio muhimu tusome kutoka Greece why sasa wamekaliwa rohoni na EU na IMF baada ya kushindwa kulipa madeni.Thibitisha usemi wako kuwa nusu USA ingetoa bure!!!!
Lakini elewa Vya bure a ghari, na KIMSINGI hazingetolewa bure kungekuwa na masharti ya wazi na mengine yasiyo wazi
Kulipa hilo deni ndio muhimu tusome kutoka Greece why sasa wamekaliwa rohoni na EU na IMF baada ya kushindwa kulipa madeni.
Greece ni nchi yenye historia ya mamilionea wengi sana duniani na biashara kubw sana ya Utalii. Karibu inaingiza watalii wastani wa milioni 17.5 kwa mwaka (World Bank) kwa hiyo ni nzuri kwa vyanzo vya kodi kuongezea pato la Taifa pamoja na fedha za kigeni.
Bado Greece imefilisika kutokana na mikopo na udhibiti mbaya wa fedha pamoja na Ufisadi.
Kulipa hilo deni ndio muhimu tusome kutoka Greece why sasa wamekaliwa rohoni na EU na IMF baada ya kushindwa kulipa madeni.
Greece ni nchi yenye historia ya mamilionea wengi sana duniani na biashara kubw sana ya Utalii. Karibu inaingiza
Kwani hivi sasa kodi tunakusanya vilivyo tusidanganyane broSababu kubwa ya Greece kupata matatizo yote uliyosema ni kuwa na Serikali legelege iliyoshondwa kukusanya KODI kwa raia wake iliwemo makampuni makubwa/matajiri .
Kodi inalipwa sawa kwa asilimia kubwa saanaKwani hivi sasa kodi tunakusanya vilivyo tusidanganyane bro
Might is not right
Kila nchi wewe pimbi tumieni ajili ninyi nyumbu,Duh, hii mikopo inabidi dhamana iwe hati ya ardhi ya nchi nzima.
Maana sioni dalili za kulipa hii mikopo + lile deni la taifa ambalo ni almost $15 billion.