Mahitaji
1)Mchele vikombe 4
2)Nyama yenye mifupa 1 kg
3)Karoti kubwa 3...kata nyemba na refu
4)Uzile (bizari ya pilau) 1 teaspoon
5)Hiliki 1 teaspoon
6)Tangawizi 1 teaspoon
7)Kitunguu saumu 1 teaspoon
8)Sukari 2 tablespoon
9)Chumvi kiasi
10)Zabibu 1 cup
11)Kitunguu maji kidogo..twanga kiwe laini
Namna ya kutaarisha...
1)Roweka mchele for 1 hour
2)Kwenye sufuria safi weka nyama,kitunguu saumu na tangawizi na chumvi kiasi...koroga vizuri
3)Weka maji kiasi kwenye nyama na wacha ichemke hadi kuwiva...
4)tenganisha nyama na soup ila bakisha kidogo sana soup nyengine weka pembeni..
5)kwenye nyama mimina ile kitunguu maji weka na uzile koroga na nyama vichanganyike vziuri...then koroga hadi nyama ikauke...epua weka kwenye sahani safi..
6)Weka mafuta kidogo sana yakipata moto mimina karot kaanga kwa dakika 5 then weka zabibu na hiliki ...baada ya dakika 2 epua.
7)Chemsha maji mengi then add chumvi kiasi na sukari kijiko 1...yakichemka weka mchele....kabla wali haujawiva vizuri chuja maji..
8)Katika sufuria nyengine safi weka sukari 1 tablespoon iache iyayuke kwa moto then add soup changanya vizuri alafu weka wali wako...funika hadi wali uwive..
9)Baada ya wali kuwiva pakua katika sahani then weka nyama yako juu yake then funika wa wali juu tupia tupia zabibu na karoti zako ulizoandaa....
Chakula tayari kwa kuliwa...
Kipimo hiki wanakula watu 4-6...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums