Afghani rice (Qabuli palao)

Afghani rice (Qabuli palao)

Dah...hii ni ya kule mashariki ya kati eeeh?
 
Naomba jina la uzile kwa lugha ya wamisionari farkhina
 
Last edited by a moderator:
Asante da Faa. Ila pishi gumu sijalielewa. Itabidi nisome tena kwa utulivuuu kabla sijajaribu. Izo sukari umezitaja mara 2. Yani kuna unoyeyusha kama ya pudding ama?

Na jee hauchushi wali kuwa na sukari au haitokelezi sana?
 
Haitokezi sana au waweza tia kwenye apo kwa kuchanganya wali....

Ukiwa tayari kupika niambie ntakufahamisha taratibu...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
I tried this farkhina. It was gud Alhamdulillah. Hm waliupenda ingawa kuna ambao waliuona utakua wa ajabu sababu ya sukari hawakutaka kutaste. Ila mm niliufurahia..thx dear
 
U welcome habibty....hongera sana

Back
Top Bottom