Afghanistan: Hii ndo nchi ambayo hakuna aliyewahi kuivamia akashinda

Afghanistan: Hii ndo nchi ambayo hakuna aliyewahi kuivamia akashinda

Afghqn hakuna chakuiba ndio maana wqlivyomalizanq na mtu wakajichenga kisingizio cha kuweka serikqli ya kiraia ilikua ni politics vita ionekane ina mashiko kama wangekuq na wese wamba wangekomaq na taliban wangeganyika mbele ya fungu wangetwangana wenyewe
Unakumbuka kauli ya Biden kuhusu huo uvamizi?
 
Unajua kwanini Afghanistan iliitwa graveyard of empire au mnafikiri mtoa mada kajiandikia tu?
Walokole wa Bongo Kila topic wanafanya mashindano,utasikia Israel ndio inaisaidia U.S.A,yaaani ujinga ujinga tu
 

Attachments

  • Screenshot_20261103-191345.png
    Screenshot_20261103-191345.png
    425.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom