Unakumbuka kauli ya Biden kuhusu huo uvamizi?Afghqn hakuna chakuiba ndio maana wqlivyomalizanq na mtu wakajichenga kisingizio cha kuweka serikqli ya kiraia ilikua ni politics vita ionekane ina mashiko kama wangekuq na wese wamba wangekomaq na taliban wangeganyika mbele ya fungu wangetwangana wenyewe
Walokole wa Bongo wanaamini Kila kitu ni mashindanoHiyo ipo kwenye rekodi za kidunia usifikri mtoa mada kakurupuka tu
Unajua kauli za viongozi mbalimbali dc zipowazi mkuu😁 Sina maoni mkuu 😁
Walokole wa Bongo Kila topic wanafanya mashindano,utasikia Israel ndio inaisaidia U.S.A,yaaani ujinga ujinga tuUnajua kwanini Afghanistan iliitwa graveyard of empire au mnafikiri mtoa mada kajiandikia tu?
Hahaha sikujua ubishi upo kwenye sura yakidini🤣Walokole wa Bongo wanaamini Kila kitu ni mashindano
Wanafalsafa wa vita wana msemo wao"It took 20 years,$2 Trillion and four presidents for U.S.A to replace Taliban to Taliban"
Nikumbushe mkuu mzee babu alisemaje?Unakumbuka kauli ya Biden kuhusu huo uvamizi?