Afghanistan: Serikali ya Taliban yapiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Kupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo ya Taarifa ya Habari na burudani nyinginezo na badala yake vioneshwe vitu kama majengo, magari na miti, na vitu vinginevyo, Sauti tu ya mtangazaji ndio isikike ikitangaza ila binadamu anayetangaza hasionekane wala mnyama wa aina yoyote kuonekana kwenye luninga.

Taliban wamesema sheria hiyo inatokana na maandiko ya kiislamu yanayojulikana kama "Sharia Law". Taliban waliongeza kuwa picha za wanyama na sura za watu kwenye Televisheni utumika kwenye Siasa za Ulaya na Marekani. Hivyo ni marufuku Televisheni kuonesha sura na umbo la binadamu na mnyama kwenye Televisheni.

Maafisa wa serikali hawatakiwi kuonekana kwenye Televisheni wakati wa kutoa hotuba au maelezo, sauti zao tu ndio zisikike.

Baadhi ya Waafaghan wamepinga hatua hiyo na kusema unaminya uhuru wa kutoa habari ususani za mahojiano.

Your browser is not able to display this video.
 
Ni nchi yenye kuzalisha bangi na cocaine kwa wingi.Kwa hiyo vituko wanavyovifanya ni viashiria vya ubora wa mazao yao.Bloody ndevus!
 
Hawataki television ya mzungu lakini wanatumia bunduki za wazungu kuchinjana wao Kwa wao
 
Kuna haja ya kulitafakali neno baada ya neno badala ya kushabikia tu haya maneno watu lishayo
 
Hawa tangu wapige marufuku kuonesha wanyama kwenye tv nilihoji kwani wao siyo wanyama? Naona Sasa wameufanyia kazi Ushauri wangu. Kila siku tunasema elimu ni kitu Cha muhimu sana. Fikiria mtume alikuwa hajui kusoma na kuandika et ndiyo anakuwa influencer wako? Alikuwa na IQ ndogo sana ila kwa sababu aliishi kwenye jamii ya wajinga akachota akili za watu wakamuamini. Ndiyo maana ukiangalia maeneo mengi ambayo Imani Kali za kiislam zimeenea ni Yale yenye watu wajinga wasio na upeo. Very stupid
 
Kwahiyo wenzetu wamefikia huku 1912....!!!
inawezekano hata mitandao wataifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…