Afghanistan: Serikali ya Taliban yapiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni

They are living in the past 😐😐😐 aisee mzungu na aheshimiwe yaani wao wanadhani kwa kufanya hivyo wataficha kinachoendelea huko. Mzungu akitaka hata kujua umebanwa na kimba na hujaenda chooni anajua.
 
Marufuku nyingine imetoka huko Afghanistan ni ya kuhusu kunyoa Ndevu Marufuku Mwanaume yeyote kunyoa Ndevu..😂😂

Sijui na Nywele za huko chini nako Fatwa itatolewa lini🤣🤣😂
 
Kupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo ya Taarifa ya Habari na burudani nyinginezo na badala yake vioneshwe vitu kama majengo, magari na miti, na vitu vinginevyo, Sauti tu ya mtangazaji ndio isikike ikitangaza ila binadamu anayetangaza hasionekane wala mnyama wa aina yoyote kuonekana kwenye luninga.

Taliban wamesema sheria hiyo inatokana na maandiko ya kiislamu yanayojulikana kama "Sharia Law". Taliban waliongeza kuwa picha za wanyama na sura za watu kwenye Televisheni utumika kwenye Siasa za Ulaya na Marekani. Hivyo ni marufuku Televisheni kuonesha sura na umbo la binadamu na mnyama kwenye Televisheni.

Maafisa wa serikali hawatakiwi kuonekana kwenye Televisheni wakati wa kutoa hotuba au maelezo, sauti zao tu ndio zisikike.

Baadhi ya Waafaghan wamepinga hatua hiyo na kusema unaminya uhuru wa kutoa habari ususani za mahojiano.

View attachment 3160807
Safi sana Hadi WAKOME NA UAHIRA WAO
 
Mmh kuwa muislam hapa duniani nalo tatizo aisee
🤣🤣Sheria km hizi kwao wanazikimbia,wanaenda ulaya ,halafu wakifika kule tena wanataka waanzishe km hizi
The Mongolian Savage upoo
 
Vitu wanavyofanya Taleban wanaweza wasikae madarakani kwa muda mrefu sana wanatengeza upinzani mkubwa huko mbeleni kutoka makundi mbalimbali.
Labda kwa msaada wa nchi za nje ndio taleban watatolewa... raia wa afghanstan waoga sana.. jeshi lao lilipewa mafunzo na silaha za kutosha na marekani.. ila walizitupa chini na kukimbia baada ya mapambano kuwa makali
 
Back
Top Bottom