Afghanistan: Serikali ya Taliban yapiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni

1731648308806.jpg
 
😂😂😂
Huwezi kuamini Taliban ndio wanaitafiri dini ya kiislam kwa usahihi wake.

Juzi walipiga maarufu wanawake kuongeleshana ama mwanamke kuongea na mwanamke mwenzake.

Walipiga maarufu watu kunyoa ndevu, ni marufuku kunyoa ndevu na wakatangaza kufunga saluni zote nchi nzima. Sijui kama jamaa wananyoa hata mavuzi.

Walipiga maarufu saluni za kike.

Walipiga marufuku wanawake kutembea mtaani, mwanamke anatakiwa kua ndani muda wote kama utumbo.

Wapige marufuku magari, simu, redio, tv, bunduki, vitanda, magodoro, na kila kitu.
Na Torah, inayasema hayo. Kiufupi wanafanya Jambo jema kulingana na Torah
 
Kupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo ya Taarifa ya Habari na burudani nyinginezo na badala yake vioneshwe vitu kama majengo, magari na miti, na vitu vinginevyo, Sauti tu ya mtangazaji ndio isikike ikitangaza ila binadamu anayetangaza hasionekane wala mnyama wa aina yoyote kuonekana kwenye luninga.

Taliban wamesema sheria hiyo inatokana na maandiko ya kiislamu yanayojulikana kama "Sharia Law". Taliban waliongeza kuwa picha za wanyama na sura za watu kwenye Televisheni utumika kwenye Siasa za Ulaya na Marekani. Hivyo ni marufuku Televisheni kuonesha sura na umbo la binadamu na mnyama kwenye Televisheni.

Maafisa wa serikali hawatakiwi kuonekana kwenye Televisheni wakati wa kutoa hotuba au maelezo, sauti zao tu ndio zisikike.

Baadhi ya Waafaghan wamepinga hatua hiyo na kusema unaminya uhuru wa kutoa habari ususani za mahojiano.

View attachment 3160807

Watu wa mudi katika ubora wao. Hapo wangesema wanapiga marufuku luninga na kubakiza redio tu.

Tukisema mudi ni janga kwa dunia muwe mnaelewa.
 
Ya kaythar mwachie kaythar....kuna mataifa jinsia moja kupigana miti ni halali kabsa....

Ata Tnz kuna maajabu yake kuliko hayo...
 
Jamaa wanaishi mwaka 1200 ..haya maimani mengine ni tabu sana.
1.Afghanistan haidaiwi na world bank wala IMF,......yaani Ina zero debt........
2.Jeshi la Taliban limeweza kupambana na majeshi ya NATO na kuwafurusha na wamebaki na nchi yao wakizisimamia rasilimali zao zote
Je!Afghanistan na Africa/Tanzania ipi inaishi mwaka 1200?
😀😀
 
Kupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo ya Taarifa ya Habari na burudani nyinginezo na badala yake vioneshwe vitu kama majengo, magari na miti, na vitu vinginevyo, Sauti tu ya mtangazaji ndio isikike ikitangaza ila binadamu anayetangaza hasionekane wala mnyama wa aina yoyote kuonekana kwenye luninga.

Taliban wamesema sheria hiyo inatokana na maandiko ya kiislamu yanayojulikana kama "Sharia Law". Taliban waliongeza kuwa picha za wanyama na sura za watu kwenye Televisheni utumika kwenye Siasa za Ulaya na Marekani. Hivyo ni marufuku Televisheni kuonesha sura na umbo la binadamu na mnyama kwenye Televisheni.

Maafisa wa serikali hawatakiwi kuonekana kwenye Televisheni wakati wa kutoa hotuba au maelezo, sauti zao tu ndio zisikike.

Baadhi ya Waafaghan wamepinga hatua hiyo na kusema unaminya uhuru wa kutoa habari ususani za mahojiano.

View attachment 3160807
Hawa ndio makafiri haswa
 
Hapo mtu ukipata nafasi lazima ukimbilie Ulaya na America.
 
Back
Top Bottom