The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
😂😂😂
Huwezi kuamini Taliban ndio wanaitafiri dini ya kiislam kwa usahihi wake.
Juzi walipiga maarufu wanawake kuongeleshana ama mwanamke kuongea na mwanamke mwenzake.
Walipiga maarufu watu kunyoa ndevu, ni marufuku kunyoa ndevu na wakatangaza kufunga saluni zote nchi nzima. Sijui kama jamaa wananyoa hata mavuzi.
Walipiga maarufu saluni za kike.
Walipiga marufuku wanawake kutembea mtaani, mwanamke anatakiwa kua ndani muda wote kama utumbo.
Wapige marufuku magari, simu, redio, tv, bunduki, vitanda, magodoro, na kila kitu.