Afghanistan: Taliban watumia maji ya kuwasha kutawanya Wanawake wanaopinga sheria ya kuwazuia kusoma chuo kikuu

Afghanistan: Taliban watumia maji ya kuwasha kutawanya Wanawake wanaopinga sheria ya kuwazuia kusoma chuo kikuu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
MGOMO 2.JPG

Kundi la Wanawake hao wanaopinga uamuzi wa Serikali kuwazuia Wanawake kutosoma Chuo Kikuu wameingia matatizoni baada ya video zilizosambaa mitandaoni zinaonesha waandamanaji wakijikinga na wengine kukimbia kukwepa mkono wa sheria katika Mji wa Herat.

Wanawake hao walikuwa wakiandamana huku wakiwa na mabango kadhaa na kuimba "Elimu ni Haki Yetu", huku baadhi wakisikika wakiimba "Taliban ni waoga."

Hatua hiyo inafuatia agizo la kuwazuia kupata elimu ya juu kwa madai kuwa Wanawake wengi wa chuo hawafuati misingi ya kidini na utekelezaji wa agizo umeshaanza kufanyiwa kazi.

Mgomoo.JPG

========= ============

Afghanistan protests: Taliban use water cannon on women opposing university ban

The Taliban have used a water cannon to disperse a group of women protesting against the ban on female students in Afghanistan attending university.

Videos on social media showed the women taking cover in a lane in the city of Herat to escape a powerful stream of water.

Dozens of women holding a protest march could be heard shouting slogans including: "Education is our right".

In one clip, women could be heard shouting: "The Taliban are cowards."

Who are the Taliban?
Earlier this week, the Islamist group banned female students from higher education, triggering an international outcry.

The Taliban said women had not been wearing appropriate Islamic attire at university and had been interacting with their male counterparts.

The new ban was implemented with immediate effect by Higher Education Minister Neda Mohammad Nadeem on Tuesday, with public and private universities ordered to bar women from attending.

Mr Nadeem said female students had been "dressing like they were going to a wedding".

The Taliban arrested five women taking part in a protest in the Afghan capital, Kabul, earlier this week. Three journalists were also arrested.

Guards stopped hundreds of women from entering universities on Wednesday, a day after the ban was announced.

Girls in Afghanistan have already been excluded from most secondary schools.

The Taliban retook control of Afghanistan in 2021, two decades after being removed from power by a US-led military coalition.

Source: BBC
 
Hapa wavaa kobazi hawajui washike kipi waache kipi. Wanatamani kuwatetea wanawake lakinka wakikumbuka walishaunga mkono Taliban kwa kuendesha nchi kwa sheria za dini yao wanaishiwa nguvu.

Yani ugali moto na mboga moto. Kumeza wanashindwa kutema chakula ni haramu. Yani hawaelewi
 
Binafsi naamini baadhi ya imani hapa duniani Ndio chanzo cha ujinga umaskini na uharibifu. Ukiiangalia afghanistan ya miaka ya 70 ilivyokuwa na maendeleo na sasa Ndio utaamini baadhi ya dini ni uchawi.
 
Back
Top Bottom