Afghanistan yatuma Brigade moja ya wapigani Kusaidia Lebanon

Baada ya Wanamgambo wa NATO kukimbia Afghanistan kwa kasi ya mwendo wa Ngiri mkia juu na kutelekeza Silaha Vifaru ndege na zana zingine kuwaachia Taliban, Military base zote kama Bagram Military base kuimefanya kuwa na Jeshi imara na sasa wanaanza kutoa msaada kwa Nchi jirani. Masaa machache Brigade ya Fatemiyoun imetua Syria tayari kuelekea Lebanon kutoa kipigo kwa Wanamgambo wa Israel, ikumbukwe Taliban ni wapigani wa Gorrila

BREAKING:
🇦🇫🇮🇱🇱🇧 Thousands of additional Afghan fighters from the Fatemiyoun Brigade have arrived in Syria to bolster Hezbollah's ranks if needed - I24

It's already happening. After announcing just a few weeks ago, the Taliban are already fulfilling their promise.

Taliban brigades are being formed and are preparing in Syria for the war with Israel. Next are the Houthis, who have a huge mobilization potential - 2 million reservists.

@IranObserver0
israel wamesema wanayasubiri kwa hamu. apo wanatuma drone tu hata ndege hawajisumbui nazo, yanakuwa mavumbi.
 
Hao Teliban wanaenda kuchochewa mgogoro huo ambao sehemu kubwa utaigharimu Lebanon.
Taleban wanaenda kama Watoa msaada pindi ukihitajika wanavuka mpaka faster kuingia
Mkuu Israel na USA wana wanajeshi sio wanamgambo.
Rekebisha kiswahili ama misamiati.
Wanamgambo ni Hizbollah na Hamas.
Ila kama hili ni kweli aiseee Israel kazi anayo,maana hao Taliban sio cha mtoto.
Wanajeshi halisi Duniani hawana sifa za kipumbavu kama Wanamgambo wa Israel umeshawahi kuona Mwanajeshi anakwenda vitani kuua Raia wasio na silaha kama watoto wanawake na wazee.
 
Okay unamaanisha Drone anazo Israel peke yake
afghanistani hanazo za kumtisha Israel. hata hivyo sishabikii vita, napenda amani,sifurahii watu kufa. ila hao watalibani hawatarudi. watu pekee waliokuwa na uwezo kupigana na israel ni wapalestina, kwasababu waliinvest sana kwenye mahandaki. lebanon ni vita vya juu, ukirusha tu unaona kila mtu anayekimbia na kumaliza mmoja mmoja, tofauti na gaza, unapiga juu kumbe mtu yupo kilometer moja chini ya ardhi, anakula kuku.
 
Taleban wanaenda kama Watoa msaada pindi ukihitajika wanavuka mpaka faster kuingia
Wanajeshi halisi Duniani hawana sifa za kipumbavu kama Wanamgambo wa Israel umeshawahi kuona Mwanajeshi anakwenda vitani kuua Raia wasio na silaha kama watoto wanawake na wazee.
Mwanajeshi haangaliwi kitendo bali sifa mkuu.
-Mwanajeshi ni yule alopokea mafunzo ya mapigano na akala kiapo kulitumikia taifa au mamlaka fulani.
-Mwanamgambo ni yule alopokea mafunzo ya mapigano ambaye anatumikia maslahi yake husika.
Haijalishi matendo yao wakikiuka tutasema jeshi ovu ila haitabadilika kua wao ni wanamgambo.
 
afghanistani hanazo za kumtisha Israel. hata hivyo sishabikii vita, napenda amani,sifurahii watu kufa. ila hao watalibani hawatarudi. watu pekee waliokuwa na uwezo kupigana na israel ni wapalestina, kwasababu waliinvest sana kwenye mahandaki. lebanon ni vita vya juu, ukirusha tu unaona kila mtu anayekimbia na kumaliza mmoja mmoja, tofauti na gaza, unapiga juu kumbe mtu yupo kilometer moja chini ya ardhi, anakula kuku.
Hehehehe Taleban huwajui mkuu.
Hakuna kikundi hatari kwa ground battle kama hao jamaa.
USSR ilivunjwa kwa mikono ya hao jamaa pia.
 
Baada ya Wanamgambo wa NATO kukimbia Afghanistan kwa kasi ya mwendo wa Ngiri mkia juu na kutelekeza Silaha Vifaru ndege na zana zingine kuwaachia Taliban, Military base zote kama Bagram Military base kuimefanya kuwa na Jeshi imara na sasa wanaanza kutoa msaada kwa Nchi jirani. Masaa machache Brigade ya Fatemiyoun imetua Syria tayari kuelekea Lebanon kutoa kipigo kwa Wanamgambo wa Israel, ikumbukwe Taliban ni wapigani wa Gorrila

BREAKING:
🇦🇫🇮🇱🇱🇧 Thousands of additional Afghan fighters from the Fatemiyoun Brigade have arrived in Syria to bolster Hezbollah's ranks if needed - I24

It's already happening. After announcing just a few weeks ago, the Taliban are already fulfilling their promise.

Taliban brigades are being formed and are preparing in Syria for the war with Israel. Next are the Houthis, who have a huge mobilization potential - 2 million reservists.

@IranObserver0
Hawa ni branch ya wairan bado ni mkono wa wairan kwa kuwa wataliban ni sunni na hawa fatemiyoun ni shia wanapata train na tech kutoka kwa wairan ukitaka kujua nguvu ya iran pale middle east ndio hizi sasa ana proxy armies and forces ziko scattefed across differents countries pale middle east hadi ndani ya pakistan ikitoka mtiti watu wanaingia kazini ni upumbavu na uwendawazimu kudhani kuwa mtu ataenda anzisha vita na wairan awashinde bila middle east yote kuwaka moto na dunia kufeel the heat.
 
basi waambieni waende tu Israel wakamalize biashara. tusiandikie mate.
 
Wanatamba na mali za urithi
 
CT
Ukraine Russia anapiga Military Facility tu kama Maghala ya silaha, Base na Equipment , sio kama magaidi wa Israel wanashambulia Hospital, Mashule, Makanisa Wazee, watoto ndio maana Taliban wanaenda kutoa dozi
Vinu vya umeme vinavyopigwa Ukraine ni base za jeshi?. Nyinyi linapokuja suala la palestina amjali kuhusu congo Ukraine Wala sehemu nyingine yoyote. Tareban aende tu vita iwe yepesi. Au nao wataenda kujichanganya na raia ili wawe Kinga?.
 
Taleban wanaenda kama Watoa msaada pindi ukihitajika wanavuka mpaka faster kuingia
Wanajeshi halisi Duniani hawana sifa za kipumbavu kama Wanamgambo wa Israel umeshawahi kuona Mwanajeshi anakwenda vitani kuua Raia wasio na silaha kama watoto wanawake na wazee.
Rajab. Na ushawahi Ona matahaira Kama wa Hamas wanaompigana wakiwa katikati ya raia na bila kuvaa sare?. Raia ni Kinga ya hamas. Wavae sare wao ni mchizi?. Wavae sare wawe target?.
 
Mkuu ungekuwa unaangalia Aljazeera watu wanavyoteseka...ungepiga dua sana Mungu awaepushie vita hivi
Ukiwa nyuma ya keyboard raha sana. Unaweza ukamuandikia mtu chochote unachojisikia bila kuwa na hofu ya kupigwa ngumi ya uso.
 
Taleban wanaenda kama Watoa msaada pindi ukihitajika wanavuka mpaka faster kuingia
Wanajeshi halisi Duniani hawana sifa za kipumbavu kama Wanamgambo wa Israel umeshawahi kuona Mwanajeshi anakwenda vitani kuua Raia wasio na silaha kama watoto wanawake na wazee.
Umewahi kuona Israel na Marekan wanajificha Shuleni au Hospitalini?
 
Ssi
Taleban hawa hawa walioacha marekani wakae raha mustarehe miaka 20 mpaka wakaamua kuondoka,watafanya nini?
NATO na US walikimbia kwendo wa Ngiri mkia juu Dunia yote ili shuhudia
Hawa ni branch ya wairan bado ni mkono wa wairan kwa kuwa wataliban ni sunni na hawa fatemiyoun ni shia wanapata train na tech kutoka kwa wairan ukitaka kujua nguvu ya iran pale middle east ndio hizi sasa ana proxy armies and forces ziko scattefed across differents countries pale middle east hadi ndani ya pakistan ikitoka mtiti watu wanaingia kazini ni upumbavu na uwendawazimu kudhani kuwa mtu ataenda anzisha vita na wairan awashinde bila middle east yote kuwaka moto na dunia kufeel the heat.
Upo sahihi mkuu
 
Baada ya Wanamgambo wa NATO kukimbia Afghanistan kwa kasi ya mwendo wa Ngiri mkia juu na kutelekeza Silaha Vifaru ndege na zana zingine kuwaachia Taliban, Military base zote kama Bagram Military base kuimefanya kuwa na Jeshi imara na sasa wanaanza kutoa msaada kwa Nchi jirani. Masaa machache Brigade ya Fatemiyoun imetua Syria tayari kuelekea Lebanon kutoa kipigo kwa Wanamgambo wa Israel, ikumbukwe Taliban ni wapigani wa Gorrila

BREAKING:
🇦🇫🇮🇱🇱🇧 Thousands of additional Afghan fighters from the Fatemiyoun Brigade have arrived in Syria to bolster Hezbollah's ranks if needed - I24

It's already happening. After announcing just a few weeks ago, the Taliban are already fulfilling their promise.

Taliban brigades are being formed and are preparing in Syria for the war with Israel. Next are the Houthis, who have a huge mobilization potential - 2 million reservists.

@IranObserver0
Hata mazayuni yakiomba poh yapigwe tu yatambue ulimwengu unataka amani!
 
Back
Top Bottom