Afisa elimu wilaya Sikonge msingi mkoani Tabora ni kiongozi ambae haeleweki kwani maagizo mengi ya serikali amekuwa akiyakaidi huku akijigamba kwamba hakuna atakayeweza kumgusa. Nitaaainisha baadhi ya matatizo ambayo yeye kama yeye anaisababishia Halmashauri ya sikonge.
1. Amekuwa akiwapa waalimu ukuuu wa shule ambao hawana sifa. Mfano amewapa ukuu waalimu na huku akiwaagiza kwamba posho ya madaraka wataigawa yeye atachukua 100,000 kwa hiyo kuna shule kama 20 ambao wapo kwenye mgawo na hakuna ubishi katika hili kwani imezoeleka nadhani nikaribia mkoa mzima wa Tabora ambapo mambo haya yanaendelea. Ila kwa upande wake yeye kazidi.
2. Pia haruhusu walimu kujiendeleza amekuwa, mgumu sana kuruhusu walimu kujiendeleza Hivyo kukaidi Agizo la Rais na Waziri mkuu. Wakati Waziri Mkuu akisistiza watumishi wa umma kujiendeleza kielimu yeye wilayani kwake hataki mambo hayo na huwa aruhusu kabisa walimu kujiendeleza na akikuonea huruma sana anakwambia jiunge elimu ya masafa.
3. Amekuwa akiwaaumiza walimu ambao anawaongoza kwani mkipishana kauli tu anakupeleka shule ambazo ziko mbali na mji kama adhabu.
4. Pia amekuwa akiingilia sana maamuzi ya kamati ya ujenzi yaani kwa kifupi yeye huwa anajua kila kitu hakosei.
Mwisho serikali ina mkono mrefu, naomba imtazame kwa jicho la pekee huyu mama kwani imekuwa kero wa walimu pia na viongozi wenzake.