cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Jamiiforum mnasikitisha sana kusema vitu ambovyo ni uongo mtupu mimi ni mwalimu mkuu katika halimashauri ya wilaya ya Sikonge tuhuma zote hizo niunafiki mkubwa sana mmekuwa mnatoa taatifa zisizo na ukweli
Mfano swala la uhamisho afisa elimu hana mamlaka ya kumhamisha mwalimu hata kidogo maana shule zote mwenye maamzi na mkurugenzi ndo mwenye shule kwahiyo hapo niuongo mtupu
Pili swala la kuwapa ukuu walimu ambao hawana sifa hujabainisha ni sifa gani pia naye uteuzi wa wakuu wa shule ni mkurugenzi
Tatu.swala la walimu kwenda masomoni kuna walimu wengi wapo vyuoni na wengine wamemaliza mwezi huu na wengine wanaenda mwaka huu tena ulikuwa unataka waende walimu wilaya nzima ndo uamini wanaenda masomoni.nne swala la elimu masafa kwa huko hakuna elimu unatambua viongozi wengi wamesoma na wanasoma huko kwani walimu tukisoma shida yako nini.
Hakuna mwalimu aliye hamishwa kwa hoja yako hiyo kwanza deo wetu sisi ni zaidi ya kiongozi tuna muita mama anatulea sana ni mama pekee anatuongoza kwa kufuata misingi ya utawa bora
Mimi mwaka jana nimetekeleza mradi wa milioni 130 hakuna hata siku moja alikuja na kuingilia kamati yeye ni kiongozi huwa anasimamia maelekezo ya mhandisi sasa kwa taarifa kwenye miradi sikonge ndo tunafanya vizuri.
Kwa niamba ya walimu wakuu wa sikonge nasema nikiwa na akili timamu yote yaliyo semwa ni upotoshaji mkubwa kwa afisa elimu chuki hizo hazina maana.
Mtuache na DEO wetu mama yetu tuna mpenda anatupenda na tunafanya kazi sana mama yaku piga kazi sisi wakuu wako tupo tayari kupambana na wanao kuchafua
Jina la ni lako umeandika?
Mbona hauja weka picha yako?
Weka hata humu kwa uzi na kitambulisho chako tujue ni wewe kweli umeandika. Na topic ni Afisa Elimu wewe upo nae ofisini kila siku ya kazi na kuongozana nae pia. Hizo millioni weka orodha ya kila senti umetumiaje hapa. 😊