DOKEZO Afisa Elimu wilaya ya Sikonge (msingi) anakula rushwa, pia anatumia madaraka yake kukandamiza wengine

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
ww ndio una laana. Unadhani watu wenye akili wanajibu hivo? Yeye ametoa tuhuma. Kinachofuta ni kufikir na kufuatilia. Sasa we unaanza kushambulia kada🤣🤣🤣. ww kada gani kwan?! Acha ushamba
Umekuuma ee? Mimi ni dereva boda boda hapa itigi mzee
 
Afisa elimu wilaya Sikonge msingi mkoani Tabora ni kiongozi ambae haeleweki kwani maagizo mengi ya serikali amekuwa akiyakaidi huku akijigamba kwamba hakuna atakayeweza kumgusa. Nitaaainisha baadhi ya matatizo ambayo yeye kama yeye anaisababishia Halmashauri ya sikonge.
1.Amekuwa akiwapa waalimu ukuuu wa shule ambao hawana sifa. Mfano amewapa ukuu waalim na huku akiwaagiza kwamba posho ya madaraka wataigawa yeye atachukua 100000 kwahiyo kuna shule kama 20 ambao wapo kwenye mgawo na hakuna ubishi katika hili kwani imezoeleka nadhani nikaribia mkoa mzima wa tabora ambapo mambo haya yanaendelea. Ila kwa upande wake yeye kazidi.
2.Pia haruhusu waalimu kujiendeleza amekuwa mgumu sana kuruhusu waalimu kujiendeleza Hivyo kukaidi Agizo la Rais na Waziri mkuu .Wakati waziri mkuu akisistiza watumishi wa umma kujiendeleza kielimu yeye wilayani kwake hataki mambo hayo na huwa aruhusu kabisa waalimu kujiendeleza na akikuonea huruma sana anakwambia jiunge elimu ya masafa.
3.Amekuwa akiwaaumiza waalimu ambao anawaongoza kwani mkipishana kauli tuuu anakupeleka shule ambazo ziko mbali na mji kama adhabu.
4.Pia amekuwa akiingilia sana maamuzi ya kamati ya ujenzi yaani kwa kifupi yeye huwa anajua kila kitu hakosei.
Mwisho serikali ina mkono mrefu naomba imtazame kwa jicho la pekeee huyu mama kwani imekuwa kero wa waalimu pia na viongoozi wenzake.
Haya ni Majungu tu!

Fitina na chuki binafsi kwa lengo la kuchafuliana majina tu!

Baadhi ya Walimu hawapendi kufanyakazi wakikutana na kiongozi (Afisa Elimu) anayesimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi kwao huwa ni kelele tu.

Hakuna Afisa Elimu anayeweza kuteua/kutengua Mkuu wa shule kwa interest zake binafsi, Uteuzi/Utenguzi unapitia hatua mbalimbali na vyombo vingi vinachambua na kujiridhisha.

#Tuchape kazi Sikonge ni Salama kabisa#
 
Jamiiforum mnasikitisha sana kusema vitu ambovyo ni uongo mtupu mimi ni mwalimu mkuu katika halimashauri ya wilaya ya Sikonge tuhuma zote hizo niunafiki mkubwa sana mmekuwa mnatoa taatifa zisizo na ukweli

Mfano swala la uhamisho afisa elimu hana mamlaka ya kumhamisha mwalimu hata kidogo maana shule zote mwenye maamzi na mkurugenzi ndo mwenye shule kwahiyo hapo niuongo mtupu

Pili swala la kuwapa ukuu walimu ambao hawana sifa hujabainisha ni sifa gani pia naye uteuzi wa wakuu wa shule ni mkurugenzi
Tatu.swala la walimu kwenda masomoni kuna walimu wengi wapo vyuoni na wengine wamemaliza mwezi huu na wengine wanaenda mwaka huu tena ulikuwa unataka waende walimu wilaya nzima ndo uamini wanaenda masomoni.nne swala la elimu masafa kwa huko hakuna elimu unatambua viongozi wengi wamesoma na wanasoma huko kwani walimu tukisoma shida yako nini.

Hakuna mwalimu aliye hamishwa kwa hoja yako hiyo kwanza deo wetu sisi ni zaidi ya kiongozi tuna muita mama anatulea sana ni mama pekee anatuongoza kwa kufuata misingi ya utawa bora

Mimi mwaka jana nimetekeleza mradi wa milioni 130 hakuna hata siku moja alikuja na kuingilia kamati yeye ni kiongozi huwa anasimamia maelekezo ya mhandisi sasa kwa taarifa kwenye miradi sikonge ndo tunafanya vizuri.

Kwa niamba ya walimu wakuu wa sikonge nasema nikiwa na akili timamu yote yaliyo semwa ni upotoshaji mkubwa kwa afisa elimu chuki hizo hazina maana.

Mtuache na DEO wetu mama yetu tuna mpenda anatupenda na tunafanya kazi sana mama yaku piga kazi sisi wakuu wako tupo tayari kupambana na wanao kuchafua
Yaani kama wewe ni Mwalimu Mkuu, basi kwa uandishi huu mleta mada yupo sashihi kuwa mnapewa ualimu mkuu mkiwa hamna sifa stahiki.

Shangazi yangu ni DEO mkoa fulani, haya yaliyoandikwa mengi anayafanya huko alipo.
 
Tanzania ipo kinyume na mataifa mengi duniani, badala ya Mwalimu kuwaelimisha wajinga yeye ndiye anawaiga aliotakiwa kuwaelimisha
 
Mpelekeni kwenye mamlaka iliyo juu yake, kwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, kama anamfavour mpelekeni kwa RAS

Mpumbavu huyo anawaona ninyi wajinga

Ilimradi muwe na Ushahidi usio na shaka
 
Haya ni Majungu tu!

Fitina na chuki binafsi kwa lengo la kuchafuliana majina tu!

Baadhi ya Walimu hawapendi kufanyakazi wakikutana na kiongozi (Afisa Elimu) anayesimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi kwao huwa ni kelele tu.

Hakuna Afisa Elimu anayeweza kuteua/kutengua Mkuu wa shule kwa interest zake binafsi, Uteuzi/Utenguzi unapitia hatua mbalimbali na vyombo vingi vinachambua na kujiridhisha.

#Tuchape kazi Sikonge ni Salama kabisa#
Ningweka voice note za waalim mbalimbali katika hili haya si majungu lakini serikali ifuatilie kwanini mkuu huyu alikuwa anaomba mgao kwenye posho ya madaraka
 
Haya ni Majungu tu!

Fitina na chuki binafsi kwa lengo la kuchafuliana majina tu!

Baadhi ya Walimu hawapendi kufanyakazi wakikutana na kiongozi (Afisa Elimu) anayesimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi kwao huwa ni kelele tu.

Hakuna Afisa Elimu anayeweza kuteua/kutengua Mkuu wa shule kwa interest zake binafsi, Uteuzi/Utenguzi unapitia hatua mbalimbali na vyombo vingi vinachambua na kujiridhisha.

#Tuchape kazi Sikonge ni Salama kabisa#
Huyu asimamii chochote ni mla rushwa na ni mtu wa chuki
 
Walimu hivi lini mtaacha majungu? Hii noble professional imeingiliwa sana na wapika majungu.
 
Sikonge, madukani, misheni, usupilo, iyombakuzova, kutunda, ipole, kipili, chabutwa, tutuo, mole mlimani, mole kiloleni, kisanga, utyatya, mazinge.

Nimepamiss sikonge.
Anyway huyo JF ni platform kubwa sana swala lako litafika kwenye mamlaka husika.
 
Jamiiforum mnasikitisha sana kusema vitu ambovyo ni uongo mtupu mimi ni mwalimu mkuu katika halimashauri ya wilaya ya Sikonge tuhuma zote hizo niunafiki mkubwa sana mmekuwa mnatoa taatifa zisizo na ukweli

Mfano swala la uhamisho afisa elimu hana mamlaka ya kumhamisha mwalimu hata kidogo maana shule zote mwenye maamzi na mkurugenzi ndo mwenye shule kwahiyo hapo niuongo mtupu

Pili swala la kuwapa ukuu walimu ambao hawana sifa hujabainisha ni sifa gani pia naye uteuzi wa wakuu wa shule ni mkurugenzi
Tatu.swala la walimu kwenda masomoni kuna walimu wengi wapo vyuoni na wengine wamemaliza mwezi huu na wengine wanaenda mwaka huu tena ulikuwa unataka waende walimu wilaya nzima ndo uamini wanaenda masomoni.nne swala la elimu masafa kwa huko hakuna elimu unatambua viongozi wengi wamesoma na wanasoma huko kwani walimu tukisoma shida yako nini.

Hakuna mwalimu aliye hamishwa kwa hoja yako hiyo kwanza deo wetu sisi ni zaidi ya kiongozi tuna muita mama anatulea sana ni mama pekee anatuongoza kwa kufuata misingi ya utawa bora

Mimi mwaka jana nimetekeleza mradi wa milioni 130 hakuna hata siku moja alikuja na kuingilia kamati yeye ni kiongozi huwa anasimamia maelekezo ya mhandisi sasa kwa taarifa kwenye miradi sikonge ndo tunafanya vizuri.

Kwa niamba ya walimu wakuu wa sikonge nasema nikiwa na akili timamu yote yaliyo semwa ni upotoshaji mkubwa kwa afisa elimu chuki hizo hazina maana.

Mtuache na DEO wetu mama yetu tuna mpenda anatupenda na tunafanya kazi sana mama yaku piga kazi sisi wakuu wako tupo tayari kupambana na wanao kuchafua
Jamii forum ni jukwaa huru haiwezi tu kuandika mambo unayoyapenda wewe sasa kama huyo afisa ni mama yako mwambie aache kuomba 50% posho ya madaraka amekuwa kero kwa waalimu wakuu wengi
Naposema anachagua waalimu wakuu bila sifa anawapa ukuu walimu wakuu wenye Astashahada bila kuwapa barua wanakuwa wanakaimu nafadi hizo,tena naomba ukae kwa kutulia ukiendelea nitayaaanika mengi ya huyo mama yako
 
Tuhuma kama hizi ni kubwa wewe ni Mwalimu ulipaswa utoe ushahidi.Bila kufanya hivyo unaweza kuzaniwa unatoa majungu tuu.lakini pia ruhusa za masomoni ni Mkurugenzi ndie anayeandikiwa barua na afisa elimu barua huwa inapitia tuu sasa inakuwaje azuie usiende jiendeleza? Au na Mkurugenzi pia anahusika?Lete ushahidi Ili Serikali ichukue hatua Kwa maana Afisa elimu ni mtu mdogo sanaaa nchi hii
 
Jamiiforum mnasikitisha sana kusema vitu ambovyo ni uongo mtupu mimi ni mwalimu mkuu katika halimashauri ya wilaya ya Sikonge tuhuma zote hizo niunafiki mkubwa sana mmekuwa mnatoa taatifa zisizo na ukweli

Mfano swala la uhamisho afisa elimu hana mamlaka ya kumhamisha mwalimu hata kidogo maana shule zote mwenye maamzi na mkurugenzi ndo mwenye shule kwahiyo hapo niuongo mtupu

Pili swala la kuwapa ukuu walimu ambao hawana sifa hujabainisha ni sifa gani pia naye uteuzi wa wakuu wa shule ni mkurugenzi
Tatu.swala la walimu kwenda masomoni kuna walimu wengi wapo vyuoni na wengine wamemaliza mwezi huu na wengine wanaenda mwaka huu tena ulikuwa unataka waende walimu wilaya nzima ndo uamini wanaenda masomoni.nne swala la elimu masafa kwa huko hakuna elimu unatambua viongozi wengi wamesoma na wanasoma huko kwani walimu tukisoma shida yako nini.

Hakuna mwalimu aliye hamishwa kwa hoja yako hiyo kwanza deo wetu sisi ni zaidi ya kiongozi tuna muita mama anatulea sana ni mama pekee anatuongoza kwa kufuata misingi ya utawa bora

Mimi mwaka jana nimetekeleza mradi wa milioni 130 hakuna hata siku moja alikuja na kuingilia kamati yeye ni kiongozi huwa anasimamia maelekezo ya mhandisi sasa kwa taarifa kwenye miradi sikonge ndo tunafanya vizuri.

Kwa niamba ya walimu wakuu wa sikonge nasema nikiwa na akili timamu yote yaliyo semwa ni upotoshaji mkubwa kwa afisa elimu chuki hizo hazina maana.

Mtuache na DEO wetu mama yetu tuna mpenda anatupenda na tunafanya kazi sana mama yaku piga kazi sisi wakuu wako tupo tayari kupambana na wanao kuchafua
Umejiunga fasta kuja kujibu nyie ndio mnzodhslilisha kada hii
 
Tuhuma kama hizi ni kubwa wewe ni Mwalimu ulipaswa utoe ushahidi.Bila kufanya hivyo unaweza kuzaniwa unatoa majungu tuu.lakini pia ruhusa za masomoni ni Mkurugenzi ndie anayeandikiwa barua na afisa elimu barua huwa inapitia tuu sasa inakuwaje azuie usiende jiendeleza? Au na Mkurugenzi pia anahusika?Lete ushahidi Ili Serikali ichukue hatua Kwa maana Afisa elimu ni mtu mdogo sanaaa nchi hii
Yeye kama mkuu wa idara akikuandikia huwezi kuruhusiwa kaka labda kama tangu uanze hiyo kazi yako wewe ni mwalimu zamu?!
 
Maafisa elimu WA msingi asikimia 90 ni wakuda kwa walimu wao ambao wengi hawajitambui au wanauoga sana.

Kuna viafisa elimu kata, afisa elimu watu wazima, afisa michezo, afisa taaluma hivi bila kuviita afisa havikuhudumii.

Tatizo ni waongozwaji(walimu) ni watiifu kupitiliza na ukiwa mtata wenzako wanakutenga.
 
Hapo namba 1 kwenye orodha yako ni halmashauri karibia zote kwa maafisa elimu wake kuwa na huo utaratibu. Fuatilia ujionee mwenyewe.
 
Jamiiforum mnasikitisha sana kusema vitu ambovyo ni uongo mtupu mimi ni mwalimu mkuu katika halimashauri ya wilaya ya Sikonge tuhuma zote hizo niunafiki mkubwa sana mmekuwa mnatoa taatifa zisizo na ukweli

Mfano swala la uhamisho afisa elimu hana mamlaka ya kumhamisha mwalimu hata kidogo maana shule zote mwenye maamzi na mkurugenzi ndo mwenye shule kwahiyo hapo niuongo mtupu

Pili swala la kuwapa ukuu walimu ambao hawana sifa hujabainisha ni sifa gani pia naye uteuzi wa wakuu wa shule ni mkurugenzi
Tatu.swala la walimu kwenda masomoni kuna walimu wengi wapo vyuoni na wengine wamemaliza mwezi huu na wengine wanaenda mwaka huu tena ulikuwa unataka waende walimu wilaya nzima ndo uamini wanaenda masomoni.nne swala la elimu masafa kwa huko hakuna elimu unatambua viongozi wengi wamesoma na wanasoma huko kwani walimu tukisoma shida yako nini.

Hakuna mwalimu aliye hamishwa kwa hoja yako hiyo kwanza deo wetu sisi ni zaidi ya kiongozi tuna muita mama anatulea sana ni mama pekee anatuongoza kwa kufuata misingi ya utawa bora

Mimi mwaka jana nimetekeleza mradi wa milioni 130 hakuna hata siku moja alikuja na kuingilia kamati yeye ni kiongozi huwa anasimamia maelekezo ya mhandisi sasa kwa taarifa kwenye miradi sikonge ndo tunafanya vizuri.

Kwa niamba ya walimu wakuu wa sikonge nasema nikiwa na akili timamu yote yaliyo semwa ni upotoshaji mkubwa kwa afisa elimu chuki hizo hazina maana.

Mtuache na DEO wetu mama yetu tuna mpenda anatupenda na tunafanya kazi sana mama yaku piga kazi sisi wakuu wako tupo tayari kupambana na wanao kuchafua
Itakuwa wewe ni mnufaika mkubwa na umetumwa kuja kutetea.
 
Mfumo wa serikali ni wa kulindana, RC/DE/DAS/DED/Mkuu wa idara akiharibu sehemu adhabu ni kuhamishwa kumbuka na uhamisho analipwa mamilioni ya fedha za umma, wanaoumiaga ni wale wa chini, kwanza huwezi kuwa mkuu wa idara bila kuwa godfather juu mzee, mwalimu anaweza kuundiwa zengwe hapo akasimamishwa kazi hata miaka 2.
Wewe unaifahamu vizuri Tanganyika.
 
Maafisa elimu WA msingi asikimia 90 ni wakuda kwa walimu wao ambao wengi hawajitambui au wanauoga sana.

Kuna viafisa elimu kata, afisa elimu watu wazima, afisa michezo, afisa taaluma hivi bila kuviita afisa havikuhudumii.

Tatizo ni waongozwaji(walimu) ni watiifu kupitiliza na ukiwa mtata wenzako wanakutenga.
Rekebisha hapo.
Ondoa neno WATIIFU badala yake weka neno WANYENYEKEVU.
 
Back
Top Bottom