DOKEZO Afisa Elimu wilaya ya Sikonge (msingi) anakula rushwa, pia anatumia madaraka yake kukandamiza wengine

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
ww ndio una laana. Unadhani watu wenye akili wanajibu hivo? Yeye ametoa tuhuma. Kinachofuta ni kufikir na kufuatilia. Sasa we unaanza kushambulia kada🤣🤣🤣. ww kada gani kwan?! Acha ushamba
Umekuuma ee? Mimi ni dereva boda boda hapa itigi mzee
 
Haya ni Majungu tu!

Fitina na chuki binafsi kwa lengo la kuchafuliana majina tu!

Baadhi ya Walimu hawapendi kufanyakazi wakikutana na kiongozi (Afisa Elimu) anayesimamia sheria, kanuni na taratibu za kazi kwao huwa ni kelele tu.

Hakuna Afisa Elimu anayeweza kuteua/kutengua Mkuu wa shule kwa interest zake binafsi, Uteuzi/Utenguzi unapitia hatua mbalimbali na vyombo vingi vinachambua na kujiridhisha.

#Tuchape kazi Sikonge ni Salama kabisa#
 
Yaani kama wewe ni Mwalimu Mkuu, basi kwa uandishi huu mleta mada yupo sashihi kuwa mnapewa ualimu mkuu mkiwa hamna sifa stahiki.

Shangazi yangu ni DEO mkoa fulani, haya yaliyoandikwa mengi anayafanya huko alipo.
 
Tanzania ipo kinyume na mataifa mengi duniani, badala ya Mwalimu kuwaelimisha wajinga yeye ndiye anawaiga aliotakiwa kuwaelimisha
 
Mpelekeni kwenye mamlaka iliyo juu yake, kwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, kama anamfavour mpelekeni kwa RAS

Mpumbavu huyo anawaona ninyi wajinga

Ilimradi muwe na Ushahidi usio na shaka
 
Ningweka voice note za waalim mbalimbali katika hili haya si majungu lakini serikali ifuatilie kwanini mkuu huyu alikuwa anaomba mgao kwenye posho ya madaraka
 
Huyu asimamii chochote ni mla rushwa na ni mtu wa chuki
 
Walimu hivi lini mtaacha majungu? Hii noble professional imeingiliwa sana na wapika majungu.
 
Sikonge, madukani, misheni, usupilo, iyombakuzova, kutunda, ipole, kipili, chabutwa, tutuo, mole mlimani, mole kiloleni, kisanga, utyatya, mazinge.

Nimepamiss sikonge.
Anyway huyo JF ni platform kubwa sana swala lako litafika kwenye mamlaka husika.
 
Jamii forum ni jukwaa huru haiwezi tu kuandika mambo unayoyapenda wewe sasa kama huyo afisa ni mama yako mwambie aache kuomba 50% posho ya madaraka amekuwa kero kwa waalimu wakuu wengi
Naposema anachagua waalimu wakuu bila sifa anawapa ukuu walimu wakuu wenye Astashahada bila kuwapa barua wanakuwa wanakaimu nafadi hizo,tena naomba ukae kwa kutulia ukiendelea nitayaaanika mengi ya huyo mama yako
 
Tuhuma kama hizi ni kubwa wewe ni Mwalimu ulipaswa utoe ushahidi.Bila kufanya hivyo unaweza kuzaniwa unatoa majungu tuu.lakini pia ruhusa za masomoni ni Mkurugenzi ndie anayeandikiwa barua na afisa elimu barua huwa inapitia tuu sasa inakuwaje azuie usiende jiendeleza? Au na Mkurugenzi pia anahusika?Lete ushahidi Ili Serikali ichukue hatua Kwa maana Afisa elimu ni mtu mdogo sanaaa nchi hii
 
Umejiunga fasta kuja kujibu nyie ndio mnzodhslilisha kada hii
 
Yeye kama mkuu wa idara akikuandikia huwezi kuruhusiwa kaka labda kama tangu uanze hiyo kazi yako wewe ni mwalimu zamu?!
 
Maafisa elimu WA msingi asikimia 90 ni wakuda kwa walimu wao ambao wengi hawajitambui au wanauoga sana.

Kuna viafisa elimu kata, afisa elimu watu wazima, afisa michezo, afisa taaluma hivi bila kuviita afisa havikuhudumii.

Tatizo ni waongozwaji(walimu) ni watiifu kupitiliza na ukiwa mtata wenzako wanakutenga.
 
Hapo namba 1 kwenye orodha yako ni halmashauri karibia zote kwa maafisa elimu wake kuwa na huo utaratibu. Fuatilia ujionee mwenyewe.
 
Itakuwa wewe ni mnufaika mkubwa na umetumwa kuja kutetea.
 
Wewe unaifahamu vizuri Tanganyika.
 
Rekebisha hapo.
Ondoa neno WATIIFU badala yake weka neno WANYENYEKEVU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…