Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Nasikia Kuna posho za madaraka 250000/=Walimu wengine ni full majanga,utaliliaje ukuu wa shule? Hayo ni matatizo tu,acha acha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Kuna posho za madaraka 250000/=Walimu wengine ni full majanga,utaliliaje ukuu wa shule? Hayo ni matatizo tu,acha acha kabisa.
Afisa Elim secondari wa wilaya UYUI!!Jacob Makala JCB Wa watengwa?
Mkuu shusha nondo hapa hachomoiNasikia kuna mwl mmoja unamhusudu sana!kisa mnakula kwa pamoja hela za Elim Bure kimya kimya kwa manunuzi Hewa!!Ulimtetea alipofumaniwa na mwanafunzi kwenye nyumba ya mwalim mwenzake !tena mwanafunzi huyo ana undugu na mwalim aliewafumania!UKAFUNIKA KOMBE ILI KUTETEA UOZO WA MWALIMU HUYO KIWEMBE KWA WANAFUNZI TENA NASIKIA HAJAOA NA HUWAFUNGIA WANAFUNZI NDANI MWAKE NA KUFANYA NAO MAPENZI KAMA WAKE ZAKE VILE!!!Hao wakina wigai unao wahonga wanajua kuwa wewe ni mtetezi wa walimu viwembe kwa wanafunzi?????