Nasikia kuna mwl mmoja unamhusudu sana!kisa mnakula kwa pamoja hela za Elim Bure kimya kimya kwa manunuzi Hewa!!Ulimtetea alipofumaniwa na mwanafunzi kwenye nyumba ya mwalim mwenzake !tena mwanafunzi huyo ana undugu na mwalim aliewafumania!UKAFUNIKA KOMBE ILI KUTETEA UOZO WA MWALIMU HUYO KIWEMBE KWA WANAFUNZI TENA NASIKIA HAJAOA NA HUWAFUNGIA WANAFUNZI NDANI MWAKE NA KUFANYA NAO MAPENZI KAMA WAKE ZAKE VILE!!!Hao wakina wigai unao wahonga wanajua kuwa wewe ni mtetezi wa walimu viwembe kwa wanafunzi?????