Afisa habari wa Rivers United apigwa fimbo ya kichwa

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Imetokea kwenye majibizano kabla ya mechi wakati River United wakilazimishwa kuingia vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. River United waligoma kuingia kukiwa na tetesi za upuliziaji wa dawa vyumbani.Pia wachezaji wawili wa River United walikutwa na covid

Kwa uhuni huu Yanga wasitegemee kufanyiwa ukarimu Nigeria
 
Duuh! Uto hawahawa, badala ya kupiga goli kwenye nyavu la rivers wao wanapiga rungu kichwa Cha msemaji?
 
Tatizo la UTO mnawekeza sana kwenye propaganda na si kwenye professionalism,mnafanya mambo kuikomoa Simba,mnatumia genge la watu na wasemaji uchwara kuitukana na kutukana viongozi wa simba,mnasajiri kwa mihemuko na si kwa scouting nzuri,mpira sio vita,mpira ni furaha,watu walianzisha mpira kuleta urafiki,udugu na si kuleta majungu na chuki,naombeni mrudi nyuma na kujichinguza wapi mmekosea na kuanza kurekebisha kasoro zenu,huwezi ukaikuta zamalek inafanya propaganda kwa Al Ahyl, ushauri wangu msifanye mambo kuikomoa Simba, fanyeni mambo ya kujenga timu.
 
Yanga wanatakiwa wafanye mambo yao siyo kushindana na Simba ndo watafanikiwa
 
Kwani hata wakifanyiwa ukarimu ndio watakifanya nini[emoji23][emoji1787]

yanga kiukweli ina wachezaji ila timu haijaunga kabisa, Mwalimu inabidi kutumia akili ya ziada.. Ntibazonkiza anahitajika pale juu, fei leo kashindwa kucheza kama namba 10 angerudi chini acheze na mukoko
 
Si mwalimu wao ni professor?,aiunge timu sasaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…