lamalu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 612
- 775
Mimi ni Simba ila nahisi nasema nahisi utopolo hawajapuliza dawa kwenye hicho chumba,ila upuuzi wao wa miaka yote ambayo simba anafanya vizuri na wao kutangaza kuwa simba wanapuliza dawa vyumbani ndio umefanya Rivers wajue hiyo ndio michezo yetu Tanzania na ndio wamechukua hiyo tahadhari matokeo yake purukushani zimetokea uto wametia aibu Taifa,kuna kitu cha kujifunza timu inapocheza na timu ya nje kule wanachojua ni nchi na si club,uto wabadilike walijua wao hawataenda kimataifa?