Afisa habari wa Rivers United apigwa fimbo ya kichwa

Afisa habari wa Rivers United apigwa fimbo ya kichwa

Mimi ni Simba ila nahisi nasema nahisi utopolo hawajapuliza dawa kwenye hicho chumba,ila upuuzi wao wa miaka yote ambayo simba anafanya vizuri na wao kutangaza kuwa simba wanapuliza dawa vyumbani ndio umefanya Rivers wajue hiyo ndio michezo yetu Tanzania na ndio wamechukua hiyo tahadhari matokeo yake purukushani zimetokea uto wametia aibu Taifa,kuna kitu cha kujifunza timu inapocheza na timu ya nje kule wanachojua ni nchi na si club,uto wabadilike walijua wao hawataenda kimataifa?
 
Hii mbinu ya kupigana mikoma ya ndonga waitoa kwa msemaji wa timu ya bange mzee wa galilaya vijijini
 
Ndiye aliyekuwa ana kosa magoli?manara hata yanga ifanye vibaya hawezi kutoka pale, kwani ana husika nini na matokeo mabaya ya timu?!!Acheni hizo
hapa tunazungumzia afisa habar kupigwa, issue ya yanga kufungwa ni kawaida yenu hamna jipya
 
Duuh! Uto hawahawa, badala ya kupiga goli kwenye nyavu la rivers wao wanapiga rungu kichwa Cha msemaji?
Inawezekana ni shabiki wa mikia aliyefanya hivyo ili kuwachafulia wananchi..au inawezekana wanigeria wamejiumiza makusudi kwani ni Nani asiyejua fiksi za wanigeria?
 
Mungu akimuandikia mtu kupata hata kwenye mwamba akipanda mahindi yanamea tu. Ona msukule unawananga wananchi na wanajua kabisa kuwa anawaektia tu yeye ni mnyama lialia lakini anavuna mamilioni wao wanateseka.
FB_IMG_1631647099990.jpg
 
Back
Top Bottom