Afisa LATRA aliemtishia dereva lori panga asimamishwa kazi (+video)


Hilo neno linatumika katika aina yeyote ya msiba sio kufa tu
Na neno MUSWIBA ni la kiarabu na kiswahili kimetohowa kutoka huko na maana yake halisi ni JANGA
Kwa hiyo janga lolote apatalo mtu hufarijiwa kwa kuambiwa inna lilah waina ilayhi rajiuun yaani pamoja na huyo ofisa kumshikia panga dereva yampasa aelewe kua
SISI WOTE NI WA ALLAH NA KWA ALLAH TUTAREJEA.
Nafikiri umeelewa vizuri kama unamashaka uliza usiogope
 
Kumtishia mtu kwa panga ni kosa la jinai na msemaji wake ni jeshi la polisi siyo mkurugenzi wa Latra.

Tangu lini Latra inachunguza jinai?
 
Nimekupata vizuri Mkuu👍
 
Pamoja na kuwa mimi ni KAFIRI (kwa mujibu WAO) na hayo maneno sijui maana yake, lakini huwa nayasoma au kuyasikia pale zinapotolewa salamu za TANZIA. Sasa, sijajua kwa habari hii, hayo maneno yana maana gani?

Hapana wewe sio KAFIRI,,, ila mana yake ni kama nyie mnavyosema bwana katoa jina lake lihimidiwe hivyo tu.
 
Lile tako la nyani muda simrefu linanadiwa kupatana .com.
 
Hapana wewe sio KAFIRI,,, ila mana yake ni kama nyie mnavyosema bwana katoa jina lake lihimidiwe hivyo tu.

KAFIRI ni Jina
KUKUFURU ni kitendo
anaye kufuru huitwa kafiriki katika lugha ya kiarabu.

KISWAHILI
KAFIRI ni mpingaji
KUKUFURU ni Kupinga

Na neno hili hasa hutumika katika kupinga au kukataa UWEPO AU KUWEPO KWA ALLAH NA MAAMRISHO YAKE

Anaye pinga au kukataa hayo huvaa sifa ya KAFIRI (prostant)
 
Wanajisahau sana
 
Kitumbua kimeingia mchanga. Pole yake
Ila mshahara ataendelea kupata Hadi athibitishwe Ana hatia, kwa Sasa anakula bure na Kama Ana hatia anabadilishwa kitengo tu. Huo ndio utumishi wa umma.
 
Ila mshahara ataendelea kupata Hadi athibitishwe Ana hatia, kwa Sasa anakula bure na Kama Ana hatia anabadilishwa kitengo tu. Huo ndio utumishi wa umma.
ushahidi wa video unakuwa na evidence kubwa sana labda wamlegezee kwa kumpa onyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…