Afisa LATRA aliemtishia dereva lori panga asimamishwa kazi (+video)

Afisa LATRA aliemtishia dereva lori panga asimamishwa kazi (+video)

Hapana wewe sio KAFIRI,,, ila mana yake ni kama nyie mnavyosema bwana katoa jina lake lihimidiwe hivyo tu.

Kakiri mwenyewe ni kafir, neno kafir ni kukanusha yale yote waliyokuja nayo mitume wa Allah kutoka kwa Allah. Hata muislam anaweza kuwa kafir kwa baadhi ya matendo na matamshi. Na apingaye kabisa kama huyo ndio kufar.
 
Back
Top Bottom