Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,296 Reaction score 6,492 Nov 18, 2020 #41 MARTIAL20 said: Hapana wewe sio KAFIRI,,, ila mana yake ni kama nyie mnavyosema bwana katoa jina lake lihimidiwe hivyo tu. Click to expand... Kakiri mwenyewe ni kafir, neno kafir ni kukanusha yale yote waliyokuja nayo mitume wa Allah kutoka kwa Allah. Hata muislam anaweza kuwa kafir kwa baadhi ya matendo na matamshi. Na apingaye kabisa kama huyo ndio kufar.
MARTIAL20 said: Hapana wewe sio KAFIRI,,, ila mana yake ni kama nyie mnavyosema bwana katoa jina lake lihimidiwe hivyo tu. Click to expand... Kakiri mwenyewe ni kafir, neno kafir ni kukanusha yale yote waliyokuja nayo mitume wa Allah kutoka kwa Allah. Hata muislam anaweza kuwa kafir kwa baadhi ya matendo na matamshi. Na apingaye kabisa kama huyo ndio kufar.