Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe anaendekeza Ukabila. Kati ya wafanyakazi 19 wanaolipwa Mishahara na CHADEMA 9 wanatoka Killimanjaro

Je na Lissu akishinda japo ni almost impossible na yeye akaanza kujaza Wanyaturu na Wanyiramba? Ni nini kifanyike ili kuzuia Ukabila na Udini kwenye Chama chetu cha CHADEMA?
Lissu ni mwadilifu Sana boss, fikiria kamlipua rafiki yake wenje kwa kumpeleka Abdul kwake Ili amuhonge
 
Zimwi likijualo halikuli ukakwisha. Hata Lisu akiwa mwenyekiti atafanya hivyo.
 
Utaongea sana.

Amandla...
 
Lissu ni mwadilifu Sana boss, fikiria kamlipua rafiki yake wenje kwa kumpeleka Abdul kwake Ili amuhonge
Sisi sote ni Waafrika, na hili tatizo la Ukabila tunalo na mara nyingine linakuwa subconsciously, Kiongozi anaweza kuwa muadilifu na akawa Mkabila nadhani hiyo ni weakness ya Viongozi wa Kiafrika. je kuna Muarobaini wa hili?
 
Usikute hao ndio wenye sifa zinazostahili, sasa mwenyekiti angefanyaje kwa mfano?

Ila nyie saa nyingine nao! (In Anko Magu's voice)
 
Hata BOT,TAKUKURU,TISS, TRA,wachaga ni wengi sana!
Hawapendelewi,wale watu ni vichwa darasani
Walijaa mramba alipokua waziri wa fedha,hata tigo imejaa watu wa kaskazini,akishaingia mmoja akakaa pale juu,analeta wenzie,hao mbwa wakabila sana,inashangaza sana mtu asiye wa kaskazini kushabikia chadema
 
Kabla ya kuhoji ya Chadema na wachaga, njoo TRA uone utitiri wa wachaga walivyojaa, utadhani ni taasisi yao. Sijui hili nalo likoje?
Mramba alipokua waziri wa fedha kipindi chote cha mkapa aliwajaza wachaga wizara ya fedha, ndiyo maana jakaya alikua hampendi mramba akampa mpaka kesi ya ufisadi,akamfagilisha hospital ya palestina sinza
 
Watu wa makabila mengine wangefukuzwa tu hapo makao makuu maana wanatia kiwingu kwenye dili za watu. Mbowe na wachaga wenzie ndo wanafaa kuwepo hapo Makao makuu ili kusitokee mizengwe kwenye kutafuna pesa za CHADEMA.
 
Tunamalizia kwa kusema wanateuliwa na mwisho wanathibitishwa na Baraza kuu.Baraza kuu kwa Nini hawakukataa kuwadhibitisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…