Afisa maudhui CHADEMA kizimbani

Afisa maudhui CHADEMA kizimbani

Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

View attachment 1574006
Akisoma hati ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo RIchard Kabate, wakili wa Serikali, Adolf Ulaya amesema kuwa mshitakiwa anakabiliwa na kesi ya jinai namba 127 ya mwaka 2020.

Mgaya anadaiwa kurusha maudhui kupitia ukurasa wa YouTube wa CHADEMA MEDIA TV bila kuwa na leseni ya mamlaka husika, kati ya Oktoba 14, 2017 na Septemba mosi, 2020 katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

Aidha, mshitakiwa amekana kutenda kosa hilo na amefanikiwa kutimiza masharti ya dhamana kama ilivyoamriwa na Mahakama.

Hata hivyo upande wa mashitaka umedai kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika hivyo kuiomba Mahakama kupanga tarehe nyingine.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 20, 2020 itakapotajwa.
Chadema mabingwa wa kuvunja sheria za nchi
 
sasa ruzuka mil 300 kila mwezi, bado wanachama wanachanga! bado wananchi wanachanga! leseni mil 1.3 kwa miaka mitatu, whats going on chadema
You have no idea what you are talking about! Yanayoendelea sasa hivi ni uhuni tu kulinda maslahi ya CCM! May the Lord judge all oppressors accordingly!
 
Kwa hiyo huoni hiyo michango inavyo mnyoosha mgombea wenu kiasi cha kumfanya kukata pumzi mara kwa mara?
Nyinyi pesa zenu za CCM zinatunyoosha watanzania wote maana ni za wizi wa kodi na mali zetu! Wanyang'anyi wakubwa nyie!
 
sasa ruzuka mil 300 kila mwezi, bado wanachama wanachanga! bado wananchi wanachanga! leseni mil 1.3 kwa miaka mitatu, whats going on chadema

Zinafanya kazi ya kaka mkubwa, nasiyo ya chama, chadema hata ofice hawana nchi nzima, wanaishia kupanga ili wale 10% sembuse na kulipia licence.

Nawatu wanazidi kuchangishwa, ha ha ha! Siasa ukiipatia nibiashara isiyokuwa na jasho.
 
Kuna wale wanawake wa praise and worship ya mbowe watapinga
 
Afisa Maudhui wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dominic Mgaya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

View attachment 1574006
Akisoma hati ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo RIchard Kabate, wakili wa Serikali, Adolf Ulaya amesema kuwa mshitakiwa anakabiliwa na kesi ya jinai namba 127 ya mwaka 2020.

Mgaya anadaiwa kurusha maudhui kupitia ukurasa wa YouTube wa CHADEMA MEDIA TV bila kuwa na leseni ya mamlaka husika, kati ya Oktoba 14, 2017 na Septemba mosi, 2020 katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

Aidha, mshitakiwa amekana kutenda kosa hilo na amefanikiwa kutimiza masharti ya dhamana kama ilivyoamriwa na Mahakama.

Hata hivyo upande wa mashitaka umedai kuwa upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika hivyo kuiomba Mahakama kupanga tarehe nyingine.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 20, 2020 itakapotajwa.
CCM ndio inapokosea..

Muda huu kila kitu kinakua politicized...

CCM inazidi kujichafulia jina tu...inaonekana bully,na wananchi know what to do to a bully!

CCM inaisaidia Chadema kampeni sana yaani....

CCM ni mavilaza mno
 
You have no idea what you are talking about! Yanayoendelea sasa hivi ni uhuni tu kulinda maslahi ya CCM! May the Lord judge all oppressors accordingly!

Kwan unadhan channel zingine hawana. Leseni? Mnataka muwe exception ili muonekane mnaonewa , lipeni lesseni bana
 
CCM ndio inapokosea..

Muda huu kila kitu kinakua politicized...

CCM inazidi kujichafulia jina tu...inaonekana bully,na wananchi know what to do to a bully!

CCM inaisaidia Chadema kampeni sana yaani....

CCM ni mavilaza mno

Ccm ni muonevu na hakuna MTU hajui ilo. But ni muonevu kwa watu wasiokua na mema na hii nchi, kwan umeona vyama vingine vya upinzani vimesumbuliwa?
 
Si chadema,bali watanzania tulio wengi tunahitaji uongozi bora.maana taasisi zimebaki kufanya kaz ya mtu binafsi badala ya KATIBA. amigo
fuateni sheria acha kulialia
kina shafii dauda walipigwa faini ya 5m kwa kesi kama hizi,mlifurahi sana kwamba wakome kuishabikia ccm na kituo chao,mpaka alipodakwa mtu wenu mnapiga mikelele
 
Ccm ni muonevu na hakuna MTU hajui ilo. But ni muonevu kwa watu wasiokua na mema na hii nchi, kwan umeona vyama vingine vya upinzani vimesumbuliwa?
Acha umama wewe..

Vyama vyote vina viTV vyao bila leseni,then mliemshika ni Chadema pekee yake!

Mnadhani kuna mtoto hapa?

Punguani nyie vilaza...akili hamnaga hadi boss wenu
 
We unadhan vyama vingine vina matumizi mabaya ya ela kama nyie , yule anaeupload chadema TV afungwe bana yeye nan asinunue leseni
 
Hao wenginewenye nazo wao hawajavunja sheria,alievunja ni Chadema pekee yake?

Kwahiyo wote wamevunja ila for some strange reason afungwe Chadema pekee yake?

Nchi kuna rule of law kweli au ni selective rule of law?

Ndio maana mnaambiwa kila siku,hamna akili...Kikwete alikua na akili zaidi yenu mara elfu!

Alikua hafanyi upumbavu huu na alikua anashinda kwa 85% kwenda mbele....he was hell of smarter nigga ever to happen ni CCM!
 
fuateni sheria acha kulialia
kina shafii dauda walipigwa faini ya 5m kwa kesi kama hizi,mlifurahi sana kwamba wakome kuishabikia ccm na kituo chao,mpaka alipodakwa mtu wenu mnapiga mikelele
Mimi kiukweli hua nipo neutral sinaga uchamachama sana.ila ninapoona mambo anuai hamkani so shwari,napaswa kupaza sauti amigo.

Kiufupi,sheria inapindishwa kwa baadhi.ila endelea kushabikia.na imani si we we bali unalazimishwa.

Tupo kwenye uchaguzi
 
Hao wenginewenye nazo wao hawajavunja sheria,alievunja ni Chadema pekee yake?

Kwahiyo wote wamevunja ila for some strange reason afungwe Chadema pekee yake?

Nchi kuna rule of law kweli au ni selective rule of law?

Ndio maana mnaambiwa kila siku,hamna akili...Kikwete alikua na akili zaidi yenu mara elfu!

Alikua hafanyi upumbavu huu na alikua anashinda kwa 85% kwenda mbele....he was hell of smarter nigga ever to happen ni CCM!

haya maneno mliongea kipindi akiwa madarakani? how about lowaaasa is he not smart? au kisa alikua kawakimbia
 
Back
Top Bottom