Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Wote vilaza ila walao JK ni afadhali yenu nyote!haya maneno mliongea kipindi akiwa madarakani? how about lowaaasa is he not smart? au kisa alikua kawakimbia
Sio kazi yetu kumsifia yeyote alie madarakani,kazi hiyo ni yenu,sisi ni kazi yetu ya msingi kuangalia mapungufu na kuyachambua inavyotakiwa...aliyofanikiwa,ni kazi yenu nyie kusifia..
Lowassa?
Thats your hot potato!Tulimsaidia akapata 47% ya kura which is not a joke,kidogo tu angemshindeni CCM..
Mwaka huu Lissu lazima azae na nyie
Kama 2015 mlipata 53%,mwaka huu you are in deep trouble nyie wafanya "selective rule of law" sababu tu ni Chadema mbabe wenu