Afisa maudhui CHADEMA kizimbani

haya maneno mliongea kipindi akiwa madarakani? how about lowaaasa is he not smart? au kisa alikua kawakimbia
Wote vilaza ila walao JK ni afadhali yenu nyote!

Sio kazi yetu kumsifia yeyote alie madarakani,kazi hiyo ni yenu,sisi ni kazi yetu ya msingi kuangalia mapungufu na kuyachambua inavyotakiwa...aliyofanikiwa,ni kazi yenu nyie kusifia..

Lowassa?

Thats your hot potato!Tulimsaidia akapata 47% ya kura which is not a joke,kidogo tu angemshindeni CCM..

Mwaka huu Lissu lazima azae na nyie

Kama 2015 mlipata 53%,mwaka huu you are in deep trouble nyie wafanya "selective rule of law" sababu tu ni Chadema mbabe wenu
 
sasa ruzuka mil 300 kila mwezi, bado wanachama wanachanga! bado wananchi wanachanga! leseni mil 1.3 kwa miaka mitatu, whats going on chadema
Hii saccos inaumiza Sana wanachama wake. Hapo wanaotafuna hawazidi watano, ndio hao wanaotaka tuwape mama Tanzania. Wataishia kuona ikulu, kwenye TV tu.
 



heeey heey heey, chil out! mwaka huu wacha niwatabirie, mnapata only < than 20%, nyie hamkumsaidia lowasa bali nyie ndo aliwasaidia, ndo maaana maana mna mdomo wa kudhan mtashinda mwaka huu mkisahau kwamba lowasa ndo aliwaletea asilimia 20% ya kura chadema:

na mm hua siongei pumba ushahidi huu apa msikilize mwenye mgombea

kwahio ina maana lowasa peke yake alikua anatembea na 18% ya wapiga kura wote! sasa fanya hivi zila asiliimia 18% mwaka 2015 zitoe then utaona mnabaki na ngap,
 
Blah blah blah...

Mwaka 2015 mlipata 53%...halafu leo mpate 100%?

Mna malaria nyie
 
Blah blah blah...

Mwaka 2015 mlipata 53%...halafu leo mpate 100%?

Mna malaria nyie


bwana wee, sio maneno yangu! si umemskia lissu mwenyewe ameongea, deal with him! wewe chukua tu zile 18% zitoe then upige mahesabu yako ya haraka haraka mwaka huu mnatoka na ngap, hayo mwngine mpigie kelele yeye ndo kasema lowasa aliwaletea 18%,

ina simple terms chama chenu, hakina mvuto, ushawishi yaani ni mpaka ccm wawaboost
 
Keep dreaming...

California dreaming....
 
Keep dreaming...

California dreaming....

atlast mgombea amekupa majibu mwenyewe, sasa ujiandae kisaikolojia maana hata izo 20% lazima kna zile za kuiba so unaweza toka na 8%,nchi nzima! kwa kifupi kama una presha ni vema uhame nchi alafu urudi uchaguzi ukiwa umeshaisha
 
atlast mgombea amekupa majibu mwenyewe, sasa ujiandae kisaikolojia maana hata izo 20% lazima kna zile za kuiba so unaweza toka na 8%,nchi nzima! kwa kifupi kama una presha ni vema uhame nchi alafu urudi uchaguzi ukiwa umeshaisha
Mgombea gani kanipa majibu gani?

Are you on drugs?

Lissu hajatoa majibu yeyote,labda kakupa wewe!

Mngekua mnashinda kwa 80% kama unavyojinasibu usingekua hapa unapoteza energy kuchapa gazeti 24hrs!

Mnafeli ndio maana upo hapa kwenye panic mode,high geared unachapa makala zisizo na mwisho kumtetea asie na lolote as if tutakupeni kura,humu tayari watu walisha decide siku nyingi wanampa nani,upo hapa unapoteza nguvu bure ku convince anybody to vote for anybody
 

sasa wewe unaona nan anahangaika kla sku kuomba kura uku kama sio cdm, (malofa) in mkapa voice, huezi kuta watu wa ccm wanahangaika kuomba kura, most of them wana elezea tu upuuzi wenu
 
Hawa washenzi wasiwasumbue akili, kuupload youtube rahisi sana, wengine tupo nje, huku tunaruhusiwa kuupload video popote pale bila shida, sasa mkitaka kuweka video nyie tutumieni kwenye email mtuambie tutaiweka kwenye channels zenu bure kabisa legally bila shida yoyote sio hawa nyoko wanawazingua
 
Unnecessary stumping on freedom of speech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…