GE2025 Afisa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Anandika Hllda Newton kupitia ukurasa wake wa X:

---------------------------

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA Brenda Rupia amekamatwa na maofisa wa Uhamiaji akiwa ofisi za Uhamiaji katika mpaka wa Namanga wakati anafanya process ili aweze kusafari kuelekea nchini Kenya.

Maofisa wa Uhamiaji wanasema kwamba wamepewa maelekezo kwamba Viongozi wa CHADEMA hawatakiwi kutoka njee ya mipaka ya Tanzania so wamemnyang'anya passport yake.

Muda huu Maofisa wa Uhamiaji wamemkabidhi Brenda kwenye mikono ya Jeshi la Polisi kwa OCCID wa Namanga na sasa wanataka kumsafirisha kinyemela kumpeleka Dar es salaam"

brenda.png
 
Du aisee
 
Hii nchi imekuwa ya kihuni mnoo, sijui inaongozwa na genge la wahuni?

Unamzua mtu asisafiri nje kwa nini?
Una mnyang'anya pasi ya kusafiria kwa nini?
Unamshikiria kwa kosa gani?
Nchi inaendeshwa na jeshi la polisi
 
Haya mambo yanafanywa na Serikali zinazofadhiliwa na Wachina pamoja na Waarabu !.

Yaan ukiwa Kiongozi wa CHADEMA , pengine una Maisha yako mengine binafsi, yanayokujitaji Utoke nje ya Nchi, Haiwezekani ,Huruhusiwi kabisa, Utakamatwa, utarudishwa Nchini.

Hayo ndio maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM , Mkuu wa Uhamiaji, Polisi ,Usalama !!.

Hutakiw kusafiri nje ya Nchi kama wee ni Kiongozi CHADEMA , Utakamatwa, utashughulikiwa !!.

Ilianza kama Mzaha...

Bandari akapewa Mwarabu

Ngorongoro akapewa Mwarabu

Misitu akapewa Mwarabu.

Viwanja vya ndege Mwarabu .

BRT akapewa Mwarabu.

Mchina kapewa Migodi na Uhuru wa ku operate Nchi nzima bila bugudha .

Watu walipoanza Kuhoji, Wakaanza kutekwa ,kuuwawa, na kufunguliwa kesi.

Ikaja Uchaguzi Serikali za mitaa, wakajipa Ushindi 99.9% , Ndani ya huo Ushindi, watu Wanatekwa, wakauliwa, wakafungwa Jela , uchaguzi tu wa Wenyeviti aa mitaa.

LISSU akawa Mwenyekiti, Uenyekiti wake ukaanza kuwatia hofu waovu.
Wakamkamata na kúmpa Kesi ya UHAINI.
CHADEMA imepigwa stop .

Hatujakaa sawa,

Gwajima anatafutwa

Kanisa la Ufufuo na Uzima limefutwa

Waumini wanapigwa Mabomu na virungu kisa kumcha Mungu wao.

Padre KITIMA ananusurika kuuwawa

Kibao anauwawa

Haijapoaaa na hiii

MPINA analiwa Kichwa kwakua anaonekana Hasifii Ovyo .

SASA VIONGOZI WA CHADEMA, HAWARUHUSIWI KUTOKA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA, KWA LUGHA NYEPESI, VIONGOZI WA CHADEMA, WAMESHAHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE KWA SHARITI LA KUTOTOKA NJE YA NCHI!.

ITOSHE tu kusema, Ni kweli kabisa, Hawa Waovu wako Radhi KUUA Kwa kadiri watakavyoweza ili mradi tu WABAKIE MADARAKANI Kwa sababu wanajua kabisa, SIKU WANANCHI WAKIREJESHA NCHI YAO MIKONONI, TUTAWAKAMATA, TUTAWAFIKISHA MBELE YA SHERIA, NA KILA MMOJA ATALIPA SAWASAWA NA ALICHOTENDA .
Screenshot_20250712_184751~2.jpg
 
Wakuu,

Anandika Hllda Newton kupitia ukurasa wake wa X:

---------------------------

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA Brenda Rupia amekamatwa na maofisa wa Uhamiaji akiwa ofisi za Uhamiaji katika mpaka wa Namanga wakati anafanya process ili aweze kusafari kuelekea nchini Kenya.

Maofisa wa Uhamiaji wanasema kwamba wamepewa maelekezo kwamba Viongozi wa CHADEMA hawatakiwi kutoka njee ya mipaka ya Tanzania so wamemnyang'anya passport yake.

Muda huu Maofisa wa Uhamiaji wamemkabidhi Brenda kwenye mikono ya Jeshi la Polisi kwa OCCID wa Namanga na sasa wanataka kumsafirisha kinyemela kumpeleka Dar es salaam"

Hivi kirefu cha OCCID uwa ni nini?
 
Sikutegemea kama huyu mwanamke atakuwa mpuuzi namna hii!
 
Wakuu,

Anandika Hllda Newton kupitia ukurasa wake wa X:

---------------------------

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA Brenda Rupia amekamatwa na maofisa wa Uhamiaji akiwa ofisi za Uhamiaji katika mpaka wa Namanga wakati anafanya process ili aweze kusafari kuelekea nchini Kenya.

Maofisa wa Uhamiaji wanasema kwamba wamepewa maelekezo kwamba Viongozi wa CHADEMA hawatakiwi kutoka njee ya mipaka ya Tanzania so wamemnyang'anya passport yake.

Muda huu Maofisa wa Uhamiaji wamemkabidhi Brenda kwenye mikono ya Jeshi la Polisi kwa OCCID wa Namanga na sasa wanataka kumsafirisha kinyemela kumpeleka Dar es salaam"

Anamdomo sana aka kamdomo

USSR
 
Back
Top Bottom