Kenya kufanya Nini hasikii kwamba G- Z wanafanya vurugu?Anaenda Kenya kuratibu nini?Haya mambo yanafanywa na Serikali zinazofadhiliwa na Wachina pamoja na Waarabu !.
Yaan ukiwa Kiongozi wa CHADEMA , pengine una Maisha yako mengine binafsi, yanayokujitaji Utoke nje ya Nchi, Haiwezekani ,Huruhusiwi kabisa, Utakamatwa, utarudishwa Nchini.
Hayo ndio maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM , Mkuu wa Uhamiaji, Polisi ,Usalama !!.
Hutakiw kusafiri nje ya Nchi kama wee ni Kiongozi CHADEMA , Utakamatwa, utashughulikiwa !!.
Ilianza kama Mzaha...
Bandari akapewa Mwarabu
Ngorongoro akapewa Mwarabu
Misitu akapewa Mwarabu.
Viwanja vya ndege Mwarabu .
BRT akapewa Mwarabu.
Mchina kapewa Migodi na Uhuru wa ku operate Nchi nzima bila bugudha .
Watu walipoanza Kuhoji, Wakaanza kutekwa ,kuuwawa, na kufunguliwa kesi.
Ikaja Uchaguzi Serikali za mitaa, wakajipa Ushindi 99.9% , Ndani ya huo Ushindi, watu Wanatekwa, wakauliwa, wakafungwa Jela , uchaguzi tu wa Wenyeviti aa mitaa.
LISSU akawa Mwenyekiti, Uenyekiti wake ukaanza kuwatia hofu waovu.
Wakamkamata na kúmpa Kesi ya UHAINI.
CHADEMA imepigwa stop .
Hatujakaa sawa,
Gwajima anatafutwa
Kanisa la Ufufuo na Uzima limefutwa
Waumini wanapigwa Mabomu na virungu kisa kumcha Mungu wao.
Padre KITIMA ananusurika kuuwawa
Kibao anauwawa
Haijapoaaa na hiii
MPINA analiwa Kichwa kwakua anaonekana Hasifii Ovyo .
SASA VIONGOZI WA CHADEMA, HAWARUHUSIWI KUTOKA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA, KWA LUGHA NYEPESI, VIONGOZI WA CHADEMA, WAMESHAHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE KWA SHARITI LA KUTOTOKA NJE YA NCHI!.
ITOSHE tu kusema, Ni kweli kabisa, Hawa Waovu wako Radhi KUUA Kwa kadiri watakavyoweza ili mradi tu WABAKIE MADARAKANI Kwa sababu wanajua kabisa, SIKU WANANCHI WAKIREJESHA NCHI YAO MIKONONI, TUTAWAKAMATA, TUTAWAFIKISHA MBELE YA SHERIA, NA KILA MMOJA ATALIPA SAWASAWA NA ALICHOTENDA .
View attachment 3403444
Vyombo vyenye mamlaka ya kukamata Tz:
1)Polisi
2)Uhamiaji
3)Usalama wa Taifa
Tena afisa Uhamiaji anakukamata, kukupekua bila warranty awe Mgeni au Mtanzania
Embu taja kifungu kinachokataza Uhamiaji wasikamate?lkn siyo sawa, afisa uhamiaji akikumata halafu anafanya nini na wewe? jukumu la kukamata ni la polisi tu kwa maana yeye ndiye anaweza kukufikisha mahakamani na kukufungulia mashitaka.
jukumu la “uhamiaji” na hii ni dunia nzima ni kudili na wahamiaji ndiyo maana ya immigration na siyo watanzagiza, hivyo uhamiaji kisheria hawezi kukamata mtanzagiza hana hayo mamlaka anaweza tu kuripoti polisi na hao ndiyo wanaweza kukumata na kukufikisha mahakamani.
uhamiaji hawawezi na wala hawana mamlaka ya kukutia pingu bali ni polisi tu.
uhamiaji ni kwa wahamiaji na siyo watanzagiza hilo ndiyo jukumu kuu …
Embu taja kifungu kinachokataza Uhamiaji wasikamate?
Ukisema Dunia nzima una maanisha nini?
Unafahamu makosa yanayo kufanya ukamatwe?
Sheria zipi immigration Ina husika moja kwa moja?
Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, inamzuia Immigration asikamate?
Kwa nini unadhani sio sawa?
HuyuMume wake nani?
Kama jambo hujui, omba uelimishwe,nimeshakwambia uhamiaji kazi yao kuu ni wahamiaji, basi hilo ndilo lengo lao kuu la uwepo wao, haikuanzishwa ili idili na citizens.
tanzagiza kuna uonevu mkubwa sana na ni animal kingdom, ni nchi ya masokwe ambapo sokwe mkubwa mwenye nguvu anapiga mdogo ndivyo sokwe wanavyoishi, tanzagiza mbunge anakukamata.
tanzagiza hata mwanajeshi anakamata raia na kutesa na kuwarusha kichura, why? nani kampa mamlaka ya kurusha watu vichura? kwa sheria gani ?
mwenye jukumu la kukamata ni polisi tu, uhamiaji anapaswa akuripoti polisi wao ndiyo watakukamata na kukufungulia mashitaka lkn uhamiaji haruhusiwi na wala hahusiki au hapaswi kuruhusiwa kudili na maisha ya kila siku ya mtanzagiza, kazi yake kuu ni wageni …