Haya mambo yanafanywa na Serikali zinazofadhiliwa na Wachina pamoja na Waarabu !.
Yaan ukiwa Kiongozi wa CHADEMA , pengine una Maisha yako mengine binafsi, yanayokujitaji Utoke nje ya Nchi, Haiwezekani ,Huruhusiwi kabisa, Utakamatwa, utarudishwa Nchini.
Hayo ndio maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM , Mkuu wa Uhamiaji, Polisi ,Usalama !!.
Hutakiw kusafiri nje ya Nchi kama wee ni Kiongozi CHADEMA , Utakamatwa, utashughulikiwa !!.
Ilianza kama Mzaha...
Bandari akapewa Mwarabu
Ngorongoro akapewa Mwarabu
Misitu akapewa Mwarabu.
Viwanja vya ndege Mwarabu .
BRT akapewa Mwarabu.
Mchina kapewa Migodi na Uhuru wa ku operate Nchi nzima bila bugudha .
Watu walipoanza Kuhoji, Wakaanza kutekwa ,kuuwawa, na kufunguliwa kesi.
Ikaja Uchaguzi Serikali za mitaa, wakajipa Ushindi 99.9% , Ndani ya huo Ushindi, watu Wanatekwa, wakauliwa, wakafungwa Jela , uchaguzi tu wa Wenyeviti aa mitaa.
LISSU akawa Mwenyekiti, Uenyekiti wake ukaanza kuwatia hofu waovu.
Wakamkamata na kΓΊmpa Kesi ya UHAINI.
CHADEMA imepigwa stop .
Hatujakaa sawa,
Gwajima anatafutwa
Kanisa la Ufufuo na Uzima limefutwa
Waumini wanapigwa Mabomu na virungu kisa kumcha Mungu wao.
Padre KITIMA ananusurika kuuwawa
Kibao anauwawa
Haijapoaaa na hiii
MPINA analiwa Kichwa kwakua anaonekana Hasifii Ovyo .
SASA VIONGOZI WA CHADEMA, HAWARUHUSIWI KUTOKA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA, KWA LUGHA NYEPESI, VIONGOZI WA CHADEMA, WAMESHAHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE KWA SHARITI LA KUTOTOKA NJE YA NCHI!.
ITOSHE tu kusema, Ni kweli kabisa, Hawa Waovu wako Radhi KUUA Kwa kadiri watakavyoweza ili mradi tu WABAKIE MADARAKANI Kwa sababu wanajua kabisa, SIKU WANANCHI WAKIREJESHA NCHI YAO MIKONONI, TUTAWAKAMATA, TUTAWAFIKISHA MBELE YA SHERIA, NA KILA MMOJA ATALIPA SAWASAWA NA ALICHOTENDA .