GE2025 Afisa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Oktoba TUNATIKI!😁😁😁
Kwenye familia yako kunamtu aliyetekwa,unaujua uchungu wa wafanya biashara wadogo,unagari la thamani ili uniambie in owe TUNZAMIA tunaenjoy?,umewahi kulazwa hospitali za serikali,unaonaje elimu ya sasa kuanzia day care hadi university,unajua kwa sasa hata ukitaka cheo ni pesa yako...mfuate mama yako akurudishe ulipotoa bomboclat.
 
Hii nchi imekuwa ya kihuni mnoo, sijui inaongozwa na genge la wahuni?

Unamzua mtu asisafiri nje kwa nini?
Una mnyang'anya pasi ya kusafiria kwa nini?
Unamshikiria kwa kosa gani?
Mkagueni marinda kama yametimia teh teh teh
 
Kwahiyo Tundu Lissu ambaye hata nyumba DSM kapata kwa msaada wa Mbowe ndiye anawadanganya haya yeye atayaweza teh tehteh
 
Kwahiyo Tundu Lissu ambaye hata nyumba DSM kapata kwa msaada wa Mbowe ndiye anawadanganya haya yeye atayaweza teh tehteh
Nilitaka nikujibu ila jina lako tu...limenifanya nikuone boga.
 
Haya yote yanatokea kwasababu ya watu mbumbumbu kupewa nchi hawajui ili ni baya au hili zuri yani ni mbumbumbu ukiwaona utafikiri kichwani zimetimia kumbe mbumbumbu
Hakika, watu wajinga Mahali popote ,ni hatari sana.
 
Masubiri mtu aseme OCTOBER TUNATIKI nimtukane tusi jipya.
Oktoba Tunatiki Kwa Mama na wagombea wote wa CCM. Sababu ya kufanya hivyo tunayo kwa sababu tumeona uchapakazi wa Mama pamoja na mambo makubwa aliyoyafanya kwa nchi yetu ndani ya muda mfupi wa uongozi wake. Ambapo ni miradi kila eneo kutokana na kuongeza bajeti ya miradi ya maendeleo kufikia Trilioni 15
 
Ndio tuongeze hasira kwenye No reform No Election mambo haya hawawezi kufanyiwa watu wasio na impact huenda hii No reform No Election imewaingia nakuwavuruga vilivyo.


No reform No Election
 
Nakuombea maisha marefu...lakini nazani unalijua deni la taifa jinsi lilivyoongezeka,mpangaji analipia pango,umeme bei juu na sio wa taifa letu usisahau uwekaji wa taa za uwanja wa ndege arusha iligharibu zaidi ya B10
 
Ila msisaha tusipo simama kuongea,hakuna atakaye simama kutuongelea.
 
Hivi mlishajiuliza kwanini kila habari za namna hii anazipata huyu Dada?
 
Moja kitu cha ajabu wakisemea wakiwa ndani ya nchi mnawamata wakisema wajiondokee wahame nchi hamtaki huo ni uonevu sana asee japo mi sio chadema ila hii sio sawa
 
Huyu ajuza chura kiziwi amekuwa dhalimu kiasi cha kuogopa hata ushuzi wake.

Ee Mungu baba chukua hii bibi ikapumzike kuzimu.
Nadhani serikali itakua na taarifa zaake kamili kuhusu ilo, maana shangazi yetu Maria na Karua wanapitia sana Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…