GE2025 Afisa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wana haki na mamlaka ya kumchunguza kama ni mtannzania maana nchi hii wahamiaji haramu wamesheheni Kila sehemu na wamejichomeka chomeka sehemu mbalimbali
 
Jamani bado tuna kesi bora tubaki nchi ili tushiriki mahudhurio ya kesi
 
Huyu sura ya KIRUNDI kabisa. Maafisa uhamiaji Wana haki ya kumchunguza
 
 
hivi tanzagiza kila mtu ana uwezo wa kukamata? nijuavyo hilo ni jukumu la polisi, uhamiaji wanaweza kukuzuia kuvuka mpaka kwa kuripoti polisi ambao ndiyo watatekeleza na kukumata lkn sidhani kama wao kisheria wanaruhusiwa kukamata raia wa tanzagiza, i mean hata jina lao tu “uhamiaji” maana yake ni wanahusika na wahamiaji na hawapaswi kudili na raia wa tanzagiza bali foreigners ndiyo lengo lao kuu na ndiyo maana hasa ya uhamiaji sasa mtanzagiza atakuwaje mhamiaji hadi akamatwe na uhamiaji?

iam confused …
 
Mzanzibari anatutesa sana watanganyika.Urithi wake wa mbeleko umetuletea mabalaa.kila siku uonevu tu halafu yeye anaendelea kutumbua minofu ya Nchi yetu iliyopatikana Kwa Kodi zetu.
 
Viola alikuwa wapi,Kila anayeenda weekend kichepuka mnasema katekwa,shida mnawatumia vibaya haw wadada Kila akitaka uongozi CDM lazima agawe penzi wamewachoka,hivo mwanachama mmoja akimpigia asipopokea au kizima simu kuepuka usumbufu wenu mnasema ametekwa,hili jambo haki za binadamu walichunguze sana,rushwa ya ngono CDM mmezidi wadada wanalapalmika sana
 


Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Brenda Rupia anadaiwa kushikiliwa na Polisi mkoani Arusha.

Ujumbe wa X uliotumwa na Makamu wa CHADEMA, John Heche leo, umesema kuwa bado wanafuatilia suala hilo.
 
Mkuu hizi jeuri zako ni za muda tu. Try to be humble. Uwe na utu na ubinadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…