GE2025 Afisa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kenya kufanya Nini hasikii kwamba G- Z wanafanya vurugu?Anaenda Kenya kuratibu nini?
 
TAARIFA KWA UMMA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA Brend Rupia amekamatwa na maofisa wa Uhamiaji akiwa ofisi za Uhamiaji katika mpaka wa Namanga wakati anafanya process ili aweze kusafari kuelekea nchini Kenya.

Maofisa wa Uhamiaji wanasema kwamba wamepewa maelekezo kwamba Viongozi wa CHADEMA hawatakiwi kutoka njee ya mipaka ya Tanzania so wamemnyang'anya passport yake.

Muda huu Maofisa wa Uhamiaji wamemkabidhi Brenda kwenye mikono ya Jeshi la Polisi kwa OCCID wa Namanga na sasa wanataka kumsafirisha kinyemela kumpeleka Dar es salaam.

#FreeBrendaJonasRupia
 
Vyombo vyenye mamlaka ya kukamata Tz:
1)Polisi
2)Uhamiaji
3)Usalama wa Taifa

Tena afisa Uhamiaji anakukamata, kukupekua bila warranty awe Mgeni au Mtanzania

lkn siyo sawa, afisa uhamiaji akikumata halafu anafanya nini na wewe? jukumu la kukamata ni la polisi tu kwa maana yeye ndiye anaweza kukufikisha mahakamani na kukufungulia mashitaka.

jukumu la “uhamiaji” na hii ni dunia nzima ni kudili na wahamiaji ndiyo maana ya “immigration” na siyo watanzagiza, hivyo uhamiaji kisheria hawezi kukamata mtanzagiza hana hayo mamlaka anaweza tu kuripoti polisi na hao ndiyo wanaweza kukumata na kukufikisha mahakamani kama umetenda kosa.

uhamiaji hawawezi na wala hawana mamlaka ya kukutia pingu bali ni polisi tu.

uhamiaji ni kwa wahamiaji na siyo watanzagiza hilo ndiyo jukumu kuu, kuangalia wahamiaji wanaosishi tanzagiza wako kihalali? wana vibali vinavyotakiwa kuishi nchini? na mambo kama hayo lkn siyo mtanzagiza hiyo siyo kazi yao, wanaweza kukagua hati ya kusafiria wakigundua ina makosa watakuripoti polisi lkn hawana mamlaka ya kukamata mtanzagiza bali ni polisi tu na hii ni dunia nzima …
 
Embu taja kifungu kinachokataza Uhamiaji wasikamate?

Ukisema Dunia nzima una maanisha nini?

Unafahamu makosa yanayo kufanya ukamatwe?

Sheria zipi immigration Ina husika moja kwa moja?

Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, inamzuia Immigration asikamate?

Kwa nini unadhani sio sawa?
 

nimeshakwambia uhamiaji kazi yao kuu ni wahamiaji, basi hilo ndilo lengo lao kuu la uwepo wao, haikuanzishwa ili idili na citizens.

tanzagiza kuna uonevu mkubwa sana na ni animal kingdom, ni nchi ya masokwe ambapo sokwe mkubwa mwenye nguvu anapiga mdogo ndivyo sokwe wanavyoishi, tanzagiza mbunge anakukamata.

tanzagiza hata mwanajeshi anakamata raia na kutesa na kuwarusha kichura, why? nani kampa mamlaka ya kurusha watu vichura? kwa sheria gani ?

mwenye jukumu la kukamata ni polisi tu, uhamiaji anapaswa akuripoti polisi wao ndiyo watakukamata na kukufungulia mashitaka lkn uhamiaji haruhusiwi na wala hahusiki au hapaswi kuruhusiwa kudili na maisha ya kila siku ya mtanzagiza, kazi yake kuu ni wageni …
 
Kama jambo hujui, omba uelimishwe,
Hakuna ulichojibu kati ya nilicho kuuliza.

Moja kati ya kazi yao ni kudhibiti mipaka na vipenyo vya kuingilia nchini,

Nyingine ni kucontrol movement maeneo ya mipakani, swali la kujiuliza ni Aliens tu wanaotumia mipaka, vipenyo, wageni wamejifungia Gambosi?

Ndio maana Sheria zimewapa nguvu ya kukamata, tena nguvu zaidi maana awahitaji warranty kufanya hivyo au kupekua wakati police wanahitaji warranty unless Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai imetoa mazingira.

Sasa wewe kwa akili zako, walripoti police Ili iweje?

Marekani
Kuna USBP(United States border protection, Border Guard, Coastal Guard) wote hawa hufanya kazi za immigration na wanakukamata mara moja ikiwa imevunja Sheria zao.

Vipi wanatakiwa watoe taarifa kwa federal police au County police 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Jifunze kitu kabla hujajianika Polisi wa Tps
 
Nchi ikiongozwa na malaya, yakutukera ni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…