TANZIA Afisa Mtendaji Mkuu Wa PPRA afariki dunia

TANZIA Afisa Mtendaji Mkuu Wa PPRA afariki dunia

Tahadhari ya kitu gani?

Kwani kabla ya corona watu hawakua wanakufa?

Kuna mahala imetamkwa kua corona ndio imemuua?

Kwani tahadhari lazima iwe kwa korona tuu? Mbona mwenzako hajataja specifically ugonjwa we unamrukia tu? Pimbi kweli wewe.
 
The late Eng. Leonard Saasita Kapongo tumempa heshima zake za mwisho na tumemstili kisiwani kome kijiji cha LUGATA wilaya ya buchosa mkoa wa MWANZA leo saa saba mchana saa za Afrika mashariki.
Bwana ametoa, bwana ametwaa. Mwanga wa milele umpe eee bwana....
 
Back
Top Bottom