Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata marehemu alikuwa akivaa barakoa muda wote..kuna watu hadi sasa wamekuwa wabishi hawataki kuvaa barakoa kwa madai eti wanashindwa kupumua!!
kwa hiyo kupumua kunatisha zaidi kuliko kifo?!!
tuchukue tahadhari. r.i.p
View attachment 1858530
Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia
Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17 jioni
DudesMzigoo?
Hata marehemu alikuwa akivaa barakoa muda wote..
Tahadhari ya kitu gani?
Kwani kabla ya corona watu hawakua wanakufa?
Kuna mahala imetamkwa kua corona ndio imemuua?
Mibongo bhna!!kwhyo umeambiwa kafa kwa korona?punguza ujuaji,uvae barakoa,ufanye nn lzma kila nafsi itaonja umauti..kuna watu hadi sasa wamekuwa wabishi hawataki kuvaa barakoa kwa madai eti wanashindwa kupumua!!
kwa hiyo kupumua kunatisha zaidi kuliko kifo?!!
tuchukue tahadhari. r.i.p
Kwani Mhandisi hawezi kuwa Mkuu wa PPRA?Muhandisi anakuaje mkuu wa PPRA ??