Nimepita ofsi moja mekuta watumish KE kama kumi hv wamekabana ka kijana kamoja katumishi kenzao ila kanaujua mfumo kanawajazia mpaka jasho muda wote wanacheka tu utaskia pepmis imegoma, mara ESS, mara m wanipandishe tu daraja. nkajua hapa TZ na netwok zake washaanza kuwalaza macho na vishikwambi