Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

Nimepita ofsi moja mekuta watumish KE kama kumi hv wamekabana ka kijana kamoja katumishi kenzao ila kanaujua mfumo kanawajazia mpaka jasho muda wote wanacheka tu utaskia pepmis imegoma, mara ESS, mara m wanipandishe tu daraja. nkajua hapa TZ na netwok zake washaanza kuwalaza macho na vishikwambi
 
Aya niambie ni nini kilifuta taarifa zangu za tangu mwezi january ambazo nilikuwa natuma kila wiki,idiot
Mfumo haufuti taarifa mkuu. Ili wewe uweze kuziona task zako,msimamizi wako anatakiwa pia awe amefanya part yake.
 
Huu mfumo bado mpya kwa watumishi ila watauzoea tu muda unavyoenda..
 
Back
Top Bottom