Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Urusi Sergey Shoigu kaingia Iran

Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Urusi Sergey Shoigu kaingia Iran

Hakuwa na shida kubwa huyo kama hamas. Hata raisi wa mamlaka ya Palestina ndugu Abasi hana shida kihivyo. Yeye anajua mipaka yake kati yake na wenye nguvu.
Na alikuwa hana urafiki na wanafiki wa ME maana alikuwa akitaka hela lazima apewe la sivyo analipua
 
Nchi za magharibi hazina Nia ya kuwasaidia waarabu. Hapo jamaa anafanya kitu Kwa faida ya Russia then anawaacha.
 
Hii habari bwana kweli,nimeisikia DW
🇮🇷🇷🇺 Shoigu Meets Iranian President in Tehran to Discuss Strengthening Bilateral Ties

Secretary of the Russian Security Council Sergey Shoigu met with Iranian President Masoud Pezeshkian in Tehran, as reported by the Tasnim news agency.

During their discussion, Pezeshkian emphasized the need to expedite the implementation of agreements between the two nations. He highlighted the shared stance of Russia and Iran on promoting a multipolar world, asserting that this collaboration would enhance global stability. Pezeshkian also underscored the enduring support Russia has provided to Iran during challenging times and reiterated that developing relations with Moscow remains a priority for Tehran.

🔴 @DDGeopolitics
 

Attachments

  • 20240805_211327.jpg
    20240805_211327.jpg
    25.1 KB · Views: 3
Watawezea wapi hao magaidi wa Kiyahudi mda wao wa kuishi kwa amani umeisha wataishi kwa misukosuko mwanzo mwisho
Wale walioitwa kuja kupewa ardhi na nyumba za wapalestina wameamua kurudi walikotoka kwa hofu ya kufa
Hawa wanapata jina kupitia media ila hamna kitu
 
Arafat aliuwawa kwa sumu Ufaransa
Aliwekewa sumu Ramalla. Ufaransa alipelekwa kutibiwa.

Kumbuka hata system ya maji wana control Israel. Walimzingira akabakia kwenye chumba kimoja tu. Walishibiti hadi alichokuwa anakula.
 
Kazi iendelee. ✊✊

Huwa shoigu namfananisha mambo yake na jenerali Armageddon 😂
 
Israel haiwezi kuogopa Iran kisa Rusia anamsaidia, Iran atapigwa tu endapo atashambulia Israel
 
Back
Top Bottom