Afisa polisi aliyanaswa na kamera akichota mafuta ashikiliwa na polisi

Afisa polisi aliyanaswa na kamera akichota mafuta ashikiliwa na polisi

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
6,316
Reaction score
9,390
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limewakamata watu 67 kwa makosa mbalimbali na kutoa taarifa ya kumshikilia askari mmoja wa kikosi cha usalama barabarani WP. 8032 PC Victoria aliyeshindwa kuchukua hatua kwa watu waliokuwa wanakinga mafuta kwenye gari lililopata ajali jana, Wilayani Igunga mkoani humo akaonekana kushirikiana na watu hao kuchota mafuta hali iliyokuwa ikihatarisha maisha yao.

Soma Pia: Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

 
Vazi limemponza.kiuhalisia yeyote ambaye angekuwa karibu angeahawishika kuchota mafuta maana kizimkazi kayapandisha sana mafuta.lita moja ya petroli ni 2960 na wajinga na wapuuzi wanasema mitano tena
 
Back
Top Bottom