Aisee umemaliza,akaona atakuta yameishaKwamba alikosa akili ndogo tuu kwenda kubadili nguo 😂
Huyu inaonekana hata baiskeli hana sababu angekuwa nata na chombo cha usafiri wowote angepata interest ya kufahamu bei ya petrol.Litr ya petrol 1960?? Wapi huko mkuu
Afikagi sheli angejua bei ambayo niya recently😂Huyu inaonekana hata baiskeli hana sababu angekuwa nata na chombo cha usafiri wowote angepata interest ya kufahamu bei ya petrol.
Kosa kubwa hapo wamekanyaga bahari ya moto angalia suruali na viatu ni mafuta tupuAisee! Naona alisaodia kabisa!
Uyo hana kazi. Kama ni afisa wa chini... kama ni inspecta kwenda mbele kuna namna watamshughulikiaHuyu wakimtoa mahabusu lazima ashushwe cheo. Huyu utrafic Hana Tena ni mwendo wa ulinzi kwenye mabenk