Na wale wabadhilifu wa fedha wangelikua wanakamatwa baada ya kugundulika ingekaa poa sana
Litr ya petrol 1960?? Wapi huko mkuuVazi limemponza.kiuhalisia yeyote ambaye angekuwa karibu angeahawishika kuchota mafuta maana kizimkazi kayapandisha sana mafuta.lita moja ya petroli ni 1960 na wajinga na wapuuzi wanasema mitano tena
Mbona kapo mkuu!Tunaomba ka vidio
2960.nilikoseaLitr ya petrol 1960?? Wapi huko mkuu
Mkuu ndio wamekeweka muda mwanzo hakakuwepo. Asante,!Mbona kapo mkuu!
Hapo sawa, mwanzo uliandika 19...2960.nilikosea