Afisa polisi aliyanaswa na kamera akichota mafuta ashikiliwa na polisi

Wangemuacha tuu, Sasa yamwagike!
Kazingua alichofanya si sawa, analichafua taswira la jesh. Angevua magwanda kwanza aingie kama raia wa kawaida hapo wala hata isingekuwa headlin
 
Hali ngumu ya maisha,polisi nao ni wasakatonge
Huyo ni tamaa tu zimemponza, askari wa usalama barabarani Wanaokota pesa nyingi kwa siku na Wanamaisha mazuri huwezi walinganisha na Hawa asikari wengine wanaovizia wavuta bange na mirung wakamate wapate hongo. Hawa wanapesa, nyumba na magari mazuri ya kutembelea
 
Aachiwe haraka kwa sababu cha kuokota si cha kuiba
 
WAMWONEE HURUMA.USAWA HUU MAISHA MAGUMU JAMANI.
 
Roho mbaya tu, mdada wa watu alikuwa pa1 na raia kiurafiki kabsa! Walitaka aache yamwagike Ili iweje.
 
Kuelekea sikukuu tusiwe wanafiki fursa hela ya brash wamfukuzaje mtu kwanza ile dizel pili mvua ilikuwa yanyesha moto wapi na wapi tatu mtawanyiko wa kipato si kujituma tena bali pesa za madiaba
 
Huyu wakimtoa mahabusu lazima ashushwe cheo. Huyu utrafic Hana Tena ni mwendo wa ulinzi kwenye mabenk
Huyu Hana kazi af wa bank usiwadharau mkuu walipwa na bank per diem 50k mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…