TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.

Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.

Wenye taarifa kamili tujulisheni.

Nawasilisha.

======

UPDATE;

POLISI YATHIBITISHA KUTOKEA KWA MAUAJI


Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Berthaneema Mlay amesema “Ni kweli tukio hilo limetokea, marehemu ametambulika kwa jina la Milembe Suleiman alikuwa mfanyakazi wa GGM, kitengo cha Ugavi amekutwa ameuawa katika eneo ambalo anajenga nyumba zake.

Eneo ambapo tukio limetokea linaitwa Mwatulole ambazo zilikuwa katika hatua ya ujenzi, mpaka sasa wameshikiliwa watu wanne na uchunguzi unaendelea.”

Alipotakiwa kuelezea kuhusu uchunguzi wa awali wa tuko hilo amesema “Yaani hatujabaini chochote mpaka sasa, ndio maana uchunguzi unaendelea.”

Pia soma
--

Milembe Suleiman enzi za uhai wake​

 
If its true and so it has began........

 
Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu

Ukweli ni kwamba kukosa watoto ni huzuni na bila Mungu kusimama na sisi kuzaa watoto ni presha kubwa.
Viatu vya wazazi waliozaa na watoto wakaingia kwenye haya mambo havitoshi. Mungu atupe imani

Hivi baada ya kumu-engage yule binti 2017 na kukatwa na polisi aliendelea na ndoa au aliendelea kusagana!?
Kama kauwawa kweli familia yake na familia za aliokuwa anawasaga wanajua walichofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…