dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Iko wp hio clip, unaweza weka link ya uzi?
Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Mwanamke mmoja anayekwenda kwa jina Milembe ambaye ni Afisa wa mgodi wa Geita anayehusika katika kitengo cha manunuzi amekamatwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumuoa mwana mke mwenzake had kumvisha pete ya uchumba. Jeshi la polisi linamshilikia mwanamke...
clip sijui kama bado ipo