TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Hujajibu swali, kwenye hayo niliyoainisha hapo juu wewe huyafanyi? Au kwa kua hatukuoni unavyopiga tunguli na kulazwa makaburini ndio unajihisi upo safe?

Muasherati kama wewe unapata wapi ujasiri wa kumuoneshea kidole Msagaji
Hahaha hulijui ulisemalo,
Acha niendelee kuamini kuwa wewe ni hamnazo .
Haya wapi pameandikwa mshirikina kalaaniwa.
 
Hahaha hulijui ulisemalo,
Acha niendelee kuamini kuwa wewe ni hamnazo .
Haya wapi pameandikwa mshirikina kalaaniwa.
Kumbe Mungu wako hana noma na wewe mshirikina, Mungu wako anapenda akikuona unagalagazwa makaburini ili upate utajiri na unapotembea na hirizi inayopomua kiunoni ili kuwakomesha majirani zako ila Wasagaji tu ndio kawakasirikia [emoji38]
 
Hujajibu swali,
Let's kifungu katika kitabu cha Imani yako kinachoonesha mshirikina kalaaniwa nikuleteee kifungu kinachowalaani mashoga na wasagaji katika hiyohiyo Imani yako.
 
Wewe hua unajisikiaje mtoto wako wa kike akiwa anakunjwa na Msela ghetto?
Huna jibu na ndo maana unauliza swali badala ya kujibu.

Let's have a real talk bila matusi.

Najua Deep down unajichukia lkn kwa nje unaonesha uko sawa. Na sababu hapa upo under anonymous ID unajimwambafy lkn huwezi fanya hivyo hadharani.

Kama huwezi fanya hivyo hadharani ni kwa sababu upo jela.

Jela ambayo wewe mwenyewe umejitengenezea na huwezi kutoka.

Mmerubuniwa kwa utandawazi na watu wanaofanya haya kwa manufaa yao. Kwa baadhi ya cults lesbianism na gayism ni ritual. Wakitoka hapo wanapewa faida kibao. Lkn wewe jiulize unapata faida gani zaidi ya 'fake' pleasure ndani ya sekunde chache?

Hujawahi sikia waganga wanaotoa masharti ya wanaume kuwafira wanaume wenzao ili kupata mali? Huo ni ushahidi kwamba hio ni ritual kwa waabudu shetani. Wao wanafaidika kwa mali na faida kedekede, sijui labda na wewe unafaidika mamaa ukiachana na hako ka orgasm ka sekunde chache.

Mwisho nakuuliza hayo mateso unayopitia, kukosa uhuru, etc... utataka mwanao wa kike nae apitie?
 
Alikuwa na demu mwingine bonge bonge alikuwa anaishi nae na kusafiri nae mweupe hivi
Niliwahi share nao entrance kwenye hoteli moja hivi, nilikuwa nawaona karibu kila siku….. Kwenye kutoka, kuingia, breakfast bar wanaongozana wenyewe mahaba niue kabisa hehehe!

Mwanzo nilikuwa sijui kama ni ke na ke, ile hoteli ilivyojengwa vyumba viwili viwili vinashare kakibaraza na milango inakuwa karibu karibu, then garden ina viti viwili na kimeza, then vinafuata vyumba vingine huko… Ikatokea sisi tunashare kile kigarden na tuko majirani kwenye milango. Kawaida mi nikikaa Mazingira yana hewa nzuri huwa naacha madirisha wazi narudisha tu wavu wa dirisha na pazia nyepesi ile.

Sasa bwana siku ya kwanza tu kama muda wa saa 7 usiku nilikuwa nilishalala, nikajihisi nashindwa kupumua nikaamka nikagundua kuna moshi wa sigara umetanda room kwangu, nikaamka kufungua mlango nikatoka nje, Asalale nikamkuta bi-mama kavaa taulo kiunoni na tishet nyepesi matiti kifuani sielewi elewi. Japo nilitoka nikamcomfront kwa kunijazia moshi wa sigara ndani ila ujasiri uliniisha nilivyomuona nikarudi ndani aisee.

Walikaa siku 4 au 5 wakaondoka… Walivyo na wanavyoact kama wewe tu na baba chanja wako. 🤣 Ila sasa wote walikuwa vibonge 😊
 
Tangu wezi walivyoanza kuchomwa Moto kwa matairi na petrol imepunguza wizi?

Wewe ukishaua Shoga au msagaji ndio Mungu wako anakupeleka peponi?
Wewe nilishaamua kukupuuza kosa sikukwambia mapema ila leo nakwambia na hii ni quote yangu ya mwisho kwako so from now on ukinikuta nime-post mahali ukakimbilia ku-quote ujue utakuwa unazungumza na robot.

Sina muda wa kufanya mjadala na mwendawazimu mimi,uingiziwe uume wa mwanaume mwenzako matakoni ukatike viuno huku unaguna kama dada yako halafu uje leo kubishana na mimi mambo ya msingi ya maisha?una hoja gani wewe....obviously huna la maana lakusikilizwa so 🚮!
 
Huna jibu na ndo maana unauliza swali badala ya kujibu.

Let's have a real talk bila matusi.

Najua Deep down unajichukia lkn kwa nje unaonesha uko sawa. Na sababu hapa upo under anonymous ID unajimwambafy lkn huwezi fanya hivyo hadharani.

Kama huwezi fanya hivyo hadharani ni kwa sababu upo jela.

Jela ambayo wewe mwenyewe umejitengenezea na huwezi kutoka.

Mmerubuniwa kwa utandawazi na watu wanaofanya haya kwa manufaa yao. Kwa baadhi ya cults lesbianism na gayism ni ritual. Wakitoka hapo wanapewa faida kibao. Lkn wewe jiulize unapata faida gani zaidi ya 'fake' pleasure ndani ya sekunde chache?

Hujawahi sikia waganga wanaotoa masharti ya wanaume kuwafira wanaume wenzao ili kupata mali? Huo ni ushahidi kwamba hio ni ritual kwa waabudu shetani. Wao wanafaidika kwa mali na faida kedekede, sijui labda na wewe unafaidika mamaa ukiachana na hako ka orgasm ka sekunde chache.

Mwisho nakuuliza hayo mateso unayopitia, kukosa uhuru, etc... utataka mwanao wa kike nae apitie?
Kiukweli sijasoma gazeti lako, umeuliza swali zuri tu na mimi nimekurudishia swali kama hilo sababu wakati mwingine, swali na swali hupatikana jibu,
Sasa badala ya kujibu swali umeamua kushusha gazeti la Nipashe, unajisumbua,

Ulitaka kujua nitajisikiaje nikiwa na Mtoto Msagaji nikakuuliza na wewe utajisikiaje mtoto wa kike akiwa anakunjwa ghetto na msela?
 
Sawa.

Lakini usidhan kila mtu ana tabia ya kupiga soga na wanawake kama wewe. My principles forbid me to gossip wirh women na ndo maana nikaleta hapa kwa great thinkers.

Probably wewe ndo imbecile, na ukiendelea hivo kuzogoa na wanawake sijui nini kitafuata. Enjoy your ignore button 'boom'
Huna tabia ya kugossip ili Hali unasikiliza kwa makini mazungumzo ya mtu wa pembeni yako ambayo kimsingi hayakuhusu....ungemuuliza tu mkuu tupate habari kamili
 
Back
Top Bottom